Kwa Wale ndugu zetu wanaopenda kuja huku Ughaibuni hebu angalia hii picha ya hapo

edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.Uk government doersnt have enough salt minerals for these.OMG Msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo


Hahaaa mjomba umenikumbusha kanuni ya Market distrotion. Tunakuja tu hata kama kuna barafu..... kwanza huku kwetu jotooo mpaka tumechoka
 
Kwa uelewa wangu mdogo nilionao ni kwamba huko ulaya kuna kipindi cha snow na kile kipindi cha summer na sio kweli kua siku zote kuna snow
 
Mzizimkavu

Kisha ile Queen's park saa hizi iko hali gani?

Ni katika sehemu nilizovutiwa nazo duniani
 
Nitafurahi akija Fab nataka Mweusi weupe nimeshachoka nao kwanza weupe ni baridi wanazidi kunitia baridi. Ukicheza nao mpira ukifunga Goli na yeye mpenzi wako akisawazisha goli ukae ukijuwa mpira ndio umekwisha hataki tena muucheze mpira anakuwa ameshachoka lakini Ngozi nyeusi ndio kwanza anataka kuendelea na Mpira nime wa miss sana wachezaji wenzangu weusi njoo mpenzi FAb nitumie PM tuwasiliane na wewe asante


mzizimkavu wengine hatutaniwi...ohoooooooo,usishangae kunikuta mlangoni kwako na mabegi yangu...LOL!
 
Haya Mkuu Mbu karibu sana nipo karibu na Urusi si unajuwa Urusi kulivyokuwa na Baridi ya +40 unaweza ukaganda ukitembea njiani lazima uanguke mara mbili au tatu mpaka kule unakofika upo hoi au utembee kidogo kigodo kama kobe karibu sana mkuu Mbu ingawa sijawahi kuona huku mdudu Mbu tangu nisafiri sasa ni miak 20 iliyopita .

Hiyo baridi ya +40 hata Dar haijawahi fikia, Dar iko around +35. Mi naona wewe uko Kharthoum kwa Mzee Bashir!
 
Hahahahaha lol naona wanafanya kazi nzuri Sana nini malipo???

hehehe hayana malipo yoyote hayo, ni mahomless tu. nimeyaleta hapa yapate umaarufu. yanaweza yakapata ubunge wa upendeleo kupitia chadema. who knows!

posted via mobile ya mshkaji.
 
Naishi Nchi mbili Uk na Norway, Norway imekaribina na Urusi karibu sana njoo X-PASTER unakaribishwa


Sehemu pekee ambayo Norway imepakana na Urusi ni kule ncha ya Kaskazini kabisa, ambayo nadhani kuna reserves za mafuta, sasa wewe kaka MziziMkavu unafanya nn huko? au unataka kuwekeza kwenye mafuta?
 
Nitafurahi akija Fab nataka Mweusi weupe nimeshachoka nao kwanza weupe ni baridi wanazidi kunitia baridi. Ukicheza nao mpira ukifunga Goli na yeye mpenzi wako akisawazisha goli ukae ukijuwa mpira ndio umekwisha hataki tena muucheze mpira anakuwa ameshachoka lakini Ngozi nyeusi ndio kwanza anataka kuendelea na Mpira nime wa miss sana wachezaji wenzangu weusi njoo mpenzi FAb nitumie PM tuwasiliane na wewe asante

Aah yaani mechi za huko siku zote ni droo! lakini mh ngoja, mbona juzi tumeona Barca 5 Real 0 ?
 
Mkuu Gama njoo unakaribishwa tu lakini ukija njoo na Suweta yako na koti Kubwa la babu yako lililokuwa zito sana kuweza kustahamili baridi karibu sana Mkuu gama :teeth::teeth::teeth:
Mara msije, mara njoo unakaribishwa... mbona hueleweki?
 
Kama ni ivo koma mkuu usirudi asilani
Asante nije kufuata nini wakati nilipoondoka hayo matatizo ya Mgao wa Maji na Umeme niliyaacha na sasa hali ndio hiyo hiyo kuna faida gani ya kurudi njaa tupu Dares-salaam kuna Giza utafikiri mupo Makaburini usiku ikiingia mji Unatowa Sauti ya Vin'gora vya Generator hakufai hata chembe Nchi imeoza Mafiisadi wapo kila upande kila sehemu Majambazi,Mji unanuka siji N'goooooo
 
mzizimkavu wengine hatutaniwi...ohoooooooo,usishangae kunikuta mlangoni kwako na mabegi yangu...LOL!
Unakaribishwa Mkuu Feb ukifika Airport nakufuata mwenyewe kabla hujasafiri ni PM nitakupa Detaily zote karibu mpenzi ninakungojea kwa hamu Kuu
 
Mzizimkavu

Kisha ile Queen's park saa hizi iko hali gani?

Ni katika sehemu nilizovutiwa nazo duniani

Hii ndio hali ya Queen's Park


4144142.jpg
4144159.jpg
4144165.jpg
4144168.jpg
4144193.jpg
4144195.jpg
4144207.jpg
4144219.jpg
4144232.jpg
4144083.jpg
4144093.jpg
4144110.jpg
4144132.jpg
4144128.jpg
4144127.jpg
4144126.jpg
4144123.jpg
4144122.jpg
4144119.jpg
4144134.jpg
4143867.jpg
4143778.jpg
4143781.jpg
4143780.jpg
4143779.jpg
4143777.jpg
4143775.jpg
4143773.jpg
4143770.jpg
4143769.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom