Kwa Wale ndugu zetu wanaopenda kuja huku Ughaibuni hebu angalia hii picha ya hapo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.Uk government doersnt have enough salt minerals for these.OMG Msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo
 
Mbona wewe hujaganda?, twaja kesho na tutabanana hapohapo. Ciao
 
Mkuu Gama njoo unakaribishwa tu lakini ukija njoo na Suweta yako na koti Kubwa la babu yako lililokuwa zito sana kuweza kustahamili baridi karibu sana Mkuu gama :teeth::teeth::teeth:
 
edinburgh hakufaiii too much snow roads are too dangerous to drive.uk government doersnt have enough salt minerals for these.omg msije jamani mwaweza kuganda kwa barafu loooooooooo

ngoja tufanye mchango tukurudishe utakufa na hiyo barafu
 
ngoja tufanye mchango tukurudishe utakufa na hiyo barafu

Michango mtatoa tukishakufa, si unajua huwa tunatangaza michango ya kurudisha maiti, kwenye michuzi blog! th! th! th!
 
dah! huku tuna nunua kifuko 50 huko ndo nyingi hivyo? nikija nitazilamba hizo!!!
 
mkishachanga mnipe nikamchukue... c unajua kaondoka zamani huyo anaweza akapotea njia....
Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Dar

kumeharibika Wizi ukabaji,ulevi na kila kitu kibaya kipo hapo Dares-Salaam inanuka kwa kila kitu nyumbani lakini kuna matatizo ya kumwaga sana Eeeh Mwenyeezi mungu Waajaalie Viongozi wetu wa Serikali waipende Nchi ya walala hoi Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Amina.
 





n Pictures: Snow in Cumbria November 2010
_50196391_importedphotos00311.jpg

_50196390_importedphotos00284.jpg
Rolo, the Shetland pony, looking very thankful that he grew his winter coat jus


snow.jpg
 
Na ninakoishi mimi tumeshatangaziwa kila mtu anunue chumvi ya kumwaga kwenye njia ya kuingia nyumbani kwake halmashauri hazina pesa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom