Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Tabora ni mkoa wenye makabila mengi lakini makabila makuu yanayopatikana tabora kuna
Wanyanyembe hawa wapo tabora mjini hawa inasemekana ni jamii ya wamanyema tokea Congo
Wasumbwa hawa wapo urambo, kaliuwa,
Ulyakula,kalemela hawa inasemekana ni jamiii ya Watusi wenye asili ya Rwanda, burundi na Uganda.
Wakonongo hawa wanatokea sikonge hawa asili yao ni wafipa waliotokea sumbawanga wakalowea tabora
Wakimbu hawa wapo nzega, igunga na wilaya ya uyui hawa inasemekana wametokea jamii ya wasukuma na wanyairamba walliolowea ukoo
Wadakama hawa wapo urambo, tabora mjini , usoke pia hawa inavyosemekana ni jamii ya wabembe waliotokea Congo
Sasa katika yote mnyamwezi halisi anatokea wapi hapa kuna kaubishani flani