Kwa wale mliowahi kukaa tabora ivi mnyamwezi halisi anatokea wapi ?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Tabora ni mkoa wenye makabila mengi lakini makabila makuu yanayopatikana tabora kuna

Wanyanyembe hawa wapo tabora mjini hawa inasemekana ni jamii ya wamanyema tokea Congo

Wasumbwa hawa wapo urambo, kaliuwa,
Ulyakula,kalemela hawa inasemekana ni jamiii ya Watusi wenye asili ya Rwanda, burundi na Uganda.

Wakonongo hawa wanatokea sikonge hawa asili yao ni wafipa waliotokea sumbawanga wakalowea tabora

Wakimbu hawa wapo nzega, igunga na wilaya ya uyui hawa inasemekana wametokea jamii ya wasukuma na wanyairamba walliolowea ukoo

Wadakama hawa wapo urambo, tabora mjini , usoke pia hawa inavyosemekana ni jamii ya wabembe waliotokea Congo

Sasa katika yote mnyamwezi halisi anatokea wapi hapa kuna kaubishani flani
 
Mie naomba picha tu kwa atakayebahatika kuwa nayo ya Mnyamwezi halisi kabisa.

Angalizo :

Naomba awe mdada tafadhali. Ahsante.
 
Moja ya kabila ambalo baadhi yao wanafiki sana, ni watu wa maneno maneno...kumfitinisha mtu kwao ni jambo la kawaida mno...nachowapendea ni wastaarabu...

Wachagga pia wapo baadhi yao wanakatabia kama wanyamwezi.
 
Mie naomba picha tu kwa atakayebahatika kuwa nayo ya Mnyamwezi halisi kabisa.

Angalizo :

Naomba awe mdada tafadhali. Ahsante.
Hahahaaaa

Kwa niaba ya maktaba nimefanikiwa kuzipata hizi aisee...! Ahsante.

Screenshot_20190926-141218.png
images (18).jpeg
Screenshot_20190926-141517.png
tasnia ya bongo movies.jpg
 
Mimi niliwahi kumsikia Hayati Chifu Abdala Fundikira wakati wa uhai wake alipokuwa akihojiwa na TVT wakati huo.

Alisema wao Wanyanyembe asili yao wametokea Uziguani leo hii Mkoa wa Tanga.
 
Wanatokea mitaa ya mwanza road,rufita,ipuli,isevya na ngoma sakasi
Tabora ni mkoa wenye makabila mengi lakini makabila makuu yanayopatikana tabora kuna

Wanyanyembe hawa wapo tabora mjini hawa inasemekana ni jamii ya wamanyema tokea Congo

Wasumbwa hawa wapo urambo, kaliuwa,
Ulyakula,kalemela hawa inasemekana ni jamiii ya Watusi wenye asili ya Rwanda, burundi na Uganda.

Wakonongo hawa wanatokea sikonge hawa asili yao ni wafipa waliotokea sumbawanga wakalowea tabora

Wakimbu hawa wapo nzega, igunga na wilaya ya uyui hawa inasemekana wametokea jamii ya wasukuma na wanyairamba walliolowea ukoo

Wadakama hawa wapo urambo, tabora mjini , usoke pia hawa inavyosemekana ni jamii ya wabembe waliotokea Congo

Sasa katika yote mnyamwezi halisi anatokea wapi hapa kuna kaubishani flani
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom