Mnyang'anyi
Member
- Jul 10, 2011
- 72
- 51
Hii itakuwa ya madomo zege wa kizungu, version ya kiswahili bado wakuu, msipeane moyo bure. wee unazani toto linalokula mahindi ukalitokee na pick up artist ya dvd litakuelewa?
Halaf naona kama hiki kizazi cha kiume kinapoteza daireksheni siku hizi! khaaaa![/QUOTE]
... SIO KIZAZI CHA KIUME TU, SIKU HIZI JINSIA ZOTE HAZINA MWELEKEO!!
skills zimepotea... sababu kubwa ni kuwa hazihitajiki; almost wadada wote ni kama maharage yale mengine ...maji mara moja.
utafikiri wanashindana kukubali! huu utandawazi huu... we acha tu.
afu ndo mtu upoteze muda kutafuta sijui CD sijui... bora iwe ya kuwarudisha wadada kwenye mstari. Enzi zile bana, ukiwa na demu mtaani heshima! so siku hizi...
Tukiwa club siku moja jamaa kamtamani dada mmoja aliyekaa karibu yangu baada ya muda akaja 'dada kama nakufahamu'...manake kuna watu wanatumia very old lines,hadi huruma!
Tukiwa club siku moja jamaa kamtamani dada mmoja aliyekaa karibu yangu baada ya muda akaja 'dada kama nakufahamu'
dada 'sidhani'
jamaa 'kama nilikuona Arusha'
dada 'sijawahi kwenda Arusha'
jamaa 'au Tanga ? '
dada 'samahani lakini,unaonaje urudi Arusha nami ninywe wine yangu kwa amani ?'
hiyo isikupe shida lil sis ninong'oneza nitamleta home halafu najidai nimesahau kitu.sasa tusemeje....au huwa mnataka tuwaambieje?......hebu nipe maujuzi...kuna jamaa huku JF anazungusha ubongo wangu nataka nimtokee na mistari
hiyo isikupe shida lil sis ninong'oneza nitamleta home halafu najidai nimesahau kitu.
nakuaminia sis ukimwangalia na macho yako hayo mwenyewe ataanza kubwabwaja maneno,umesema mtata asiwe NN ?utakua hujatatua tatizo....sasa ukimuacha mi nitaanza kumwambiaje......?......halafu jamaa mwenyewe ni mtata vibaya mno....
mdomo mzito,kutokuweza kutongoza,kuwa na aibu ya kupitiliza,kutojiamini, umeelewa sasa ?Pamoja na michango yote lakini mi bado sijaelewa maana ya domo zege
ina maana domo likuwa kama zege?
sasa naanzaje?....kwamba......samahani sijui nimekufananisha?....hiyo ni old style......au labda....mmmh....inakuwa ngumu kidogo.......

Tukiwa club siku moja jamaa kamtamani dada mmoja aliyekaa karibu yangu baada ya muda akaja 'dada kama nakufahamu'

dada 'sidhani'

jamaa 'kama nilikuona Arusha'

dada 'sijawahi kwenda Arusha'

jamaa 'au Tanga ? '

dada 'samahani lakini,unaonaje urudi Arusha nami ninywe wine yangu kwa amani ?'
Kamata hiki kitabu cha notes kitakupa maujuzi zaidi. te te te kwi kwi .....!!!!!!!!!!!!!!!!!!