Kwa wale ambao hawajaoa wala kuolewa

Kwa wale ambao hawajaoa wala kuolewa

MM NLSHAOA ILA TULIWAHI KUULIZANA MIMI NA MKE WNG NI NINI TULICHOPENDEANA MKE AKANIJIBU AJUI ILA THE WAY NILIVYO ALJKUTA AMEFALL IN LV SASA NIKOJE? YEYE NDIO ANAJUA. MM NILCHOMPENDEA NI KUFANANA KITABIA NA MAMA YNG NA KABLA HATA SJAMUOA ALNITAMKIA ''you are ma first bon na naziona sura za watoto wng wengine thanx lord'' YAAN NIKAMPENDA SANA. SASA TUNAENJOY LIFE AS HUS&WFE

Hongera mkuu,c bado pepa ngumu,wa sa hv hela mbele had tunawaogopa,kapenda hela au kanipenda!
 
Smarter than me, has a big heart, fear of the Lord, principled and can make me laugh.

Others are important but secondary.
 
mi mzima..we kam hujaoa wala kuolew na sku moja una ndoto wa kuw na ndoa yako,.je unatarajia kuoa/kuolew na mume/mke mweny sifa zipi? na kwa nin unapend kuoa/kuolewa na mke/mume mweny sifa hzo? swali hili ndo msing wa ndoa bora endapo utajb ipasavyo..

Sifa za msichana kama hizi zifuatazo nikizipata itakua mpango mzima!
1-Awe mrefu (futi 5 na nusu mpaka 6 kamili}!
2-Awe mwembamba wastan!
3-Awe separate figure (ziwa kwake, tumbo kwake, mgongo kwake na kiuno kwake!
4-Awe Mwelewa!
5-Awe negative (H.I.V)!
6-Anipende!
7-AWE NA TABIA NJEMA!
NB: tabia njema ni muhim sana kwangu ila kwanza navutiwa out side ndio napata mzuka wa inside!
Napenda sifa hizo coz huyo ndie nitakaeweza kumvulia makosa madogo madogo! Weeewe! Usiombe kuishi na mtu humpendi, akikukosea kidogo tu .......!
Nadhani umenisoma meeeeeeeeeen!!!!
 
Back
Top Bottom