Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
mi mzima..we kam hujaoa wala kuolew na sku moja una ndoto wa kuw na ndoa yako,.je unatarajia kuoa/kuolew na mume/mke mweny sifa zipi? na kwa nin unapend kuoa/kuolewa na mke/mume mweny sifa hzo? swali hili ndo msing wa ndoa bora endapo utajb ipasavyo..