wifi usimwambie bro wako plssss!!
Nakuangalia tu wifi
tatizo kakayo yupo busy sana
inabidi niolewe na mume wa pili
mi kuishi bila nanilii kwa muda mrefu siwezi!!
OMG...kaka Ruttashobolwa watu wanataka kuwekeza kwa mke wako huku.
yani kaka ako hayupo hata uite vipi
sijui yupo wapi,acha tu niolewe wif yangu
we mwenyewe c unaona!!he iz not richabo kabisa!!
Mbona kama nilimuona kule wanakotoa ban sana kuleeee
mmmh..
tatizo kakayo yupo busy sana
inabidi niolewe na mume wa pili
mi kuishi bila nanilii kwa muda mrefu siwezi!!
Kwani kunanini hapa jamani sielewi
​shemeji unajifanya hujui?mmmh..
Huwezi kuishi bila nini...lol
Jamani humu ndani shikamoni!
Jamani humu ndani shikamoni!
KOKUTONA babe... Huyu ana vidumu kibao, naomba tu umzoee...
nakuchabo tu!!vile vidumu vyanguKOKUTONA babe... Huyu ana vidumu kibao, naomba tu umzoee...