Mkuu,ni matapeli tu
Urambo kubwa.. Wapo Makanisa yepi mkuuKuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Na hao wengine Elia Kamenya na Mchungaji Flora Shusho, waelezeeNianza na eldad Ni mtumishi wa mungu mwenye karama ya unabii, maono, uponyaji yupo kanisa la Pentecoste urambo (majengo ya kaliua) Hana cheo chochote na huwa hataki vyeo yupo Chini ya mchungaji mwakasege Ni shemasi TU wa kawaida amebeba huduma kubwa ndani yake
Hajaanza huduma juzi wala Jana na akisema aanzishe huduma yake anakomba kanisa zima
Mwakasege huyu huyu tumjuaye ame mwingine maana mwakasege ni ukoo.Naanza na eldad Ni mtumishi wa mungu mwenye karama ya unabii, maono, uponyaji yupo kanisa la Pentecoste urambo (majengo ya kaliua) Hana cheo chochote na huwa hataki vyeo yupo Chini ya mchungaji mwakasege Ni shemasi TU wa kawaida amebeba huduma kubwa ndani yake..
Naifanyia kazi mkuuNa hao wengine Elia Kamenya na Mchungaji Flora Shusho, waelezee
Anafanya huduma Kama ya mwalimu christofer mwakasegeMwakasege huyu huyu tumjuaye ame mwingine maana mwakasege ni ukoo.
Mawasiliano yake kama yapo?Anafanya huduma Kama ya mwalimu christofer mwakasege
Ahaa! nimekuelewa ndugu yangu.Anafanya huduma Kama ya mwalimu christofer mwakasege
Sio matapeli,wapo kazini!!!ni matapeli tu