Kwa wakazi wa Mbeya mjini na viunga vyake

Kwa wakazi wa Mbeya mjini na viunga vyake

nitazoea

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
205
Reaction score
245
Karibu ujipatie Wafanyakazi wa kazi zifuatazo;
1.Usafi majumbani
2.Garden management
3.House keeping
4.Usimamizi wa biashara
5.Kufua nguo


Karibu upate huduma zenye viwango.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe picha zao na namba tu, mfano (Mwakipesile Na. 4) ila usiweke majina yao. Itatusaidia namna ya kuchagua tuwapendao.
 
Ninaweza pata mwenye miaka 17-22 asiwe mnene pia rangi yake iwe maji ya kunde alafu asiwe mfupi
Kazi yake iwe kunifanyia usafi kwangu nina chumba kimoja tu na naishi mwenyew


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu ujipatie Wafanyakazi wa kazi zifuatazo;
1.Usafi majumbani
2.Garden management
3.House keeping
4.Usimamizi wa biashara
5.Kufua nguo


Karibu upate huduma zenye viwango.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu mkuu ule uzi wako wa kwenda mgodini vipi umefanikiwa maana naona umepata na mtaji wa kuchukua watu wa usafi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom