Kwa wakazi wa Dar JF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wakazi wa Dar JF!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, Apr 20, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nimeona picha kwenye bango la Air Uganda karibu na taa zakwenda seaview road wanaojua ile ninani watwambie!
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,291
  Trophy Points: 280
  sasa KakaKiiza ungesema wanaopita hiyo route maana sie wa mbagala posta sijui kama inatuhusu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,604
  Trophy Points: 280
  pm mtambuzi
  ndo anga zake hizo.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  japo uliniacha lakini siachi kukusemesha.....
  hivi mbona kama sijakuelewa...? maana ndio niko hapo hapo kwenye taa saa hizi......

   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungelifotoa ingekuwa bomba kweli ngoja nimstue El Toro akipige picha..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Siyo mpaka mpaka hapo popote kwenye bango la Air Uganda tazama kuna picha twambie nipicha gani inahusika!!Baby baby Preta sijakuacha sijuzi kipindi cha msiba wa Ze great tulikuwa wote au basi funguka uko wapi nitie timu nafarasi wangu mimi sina foleni sina gharama ya mfuta!!(Hapo kwenye Taa za Palm beach kama unakata kwenda seaview tazama upande wako wa kushoto utaona tu!)
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mie mgeni darisalama
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwanza sijaelewa swali kwa hapo mwisho...pili pasaka ya juzi ndo ya kwanza hapa dar...
   
 9. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  farasi wako anagharimu roho kirahisi, anyway una mtoto ht wa ukumbusho?
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Ahaaa lakini hata wanaoishi moshi mabango hayo yapo kila kona haijalishi unapita wapi!!Mabango ya Air uganda tazama utagundua kunakitu!ukishaona niambie umeona nini??funguka!
   
Loading...