kwa wakali wa EXCELL MNISAIDIE

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Nitaka kutumia visual basic application(vba) kwenye excel naomba muongozo
 
The subject is very wide. Unataka kufanya nini hasa? Do you want to create a specific application or you just want to learn VBA in general?
 
Kaka umegusa ninapopataka hata mimi ninashida ya kutumia VBA...Nahitaji kutafuta area under curves kwa kutumia SIMPSON rule..tafadhali mwenye idea anitoe
 
Kaka hebu kimbilia NEW HORIZONS /TECHNOBRAIN pale Mnazi mmoja utaelimishwa zaidi
 
Nitaka kutumia visual basic application(vba) kwenye excel naomba muongozo

Muongozo wa VB kwenye kufanya nini na xcel. But kama ni mungozo tuuuuu unacha wajumbe watumie utabiri kujua nini hasa unahitaji mmi naanza

writing GUI in excel




Writing excel macros



kama utabiri wangu wa uanchotaka haupo basi nenda youtube then search kwa maneno yanayoenda na unachotaka Utapata video za wataalam wakikupa muongozo
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni najua Excel lakini VBA ni bora uchukue training ya VBA kwasababu ni codes. Lakini kama unataka kutengeneza Macro unaweza kufanya bila VBA. Kuna tools za training za wahindi bure kwenye websites search "Free VBA Training Tools" kwenye google!. Kama unamashali ya jinsi ya kutumia V-LOOKS, IF FUNCTIONS, SUMIF, etc naweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom