kwa wakaka wa kitanzania tu

ume ni inspire sana Smile kwasababu most of us tamaa nyingi ila i got alot of answer from your thread. Barikiwa sikuku njema ma dada
 
washauri vijana wenzio bwana

Tatizo hizi story za vijiweni tunakokutana zinatuangusha sana
Yaani unakuta mtu kashupalia bila gari bana wewe huthaminiki na wala hutapata mwanamke wa maana
Na tunaangukia huko huko kwenye kununua magari ya mkopo na unakolipaki ni ofisi ya kata au ya ccm maana hata huko unakokaa hakuingiliki
Chumba mnakaa wanne na ukitoka hapo uko smart kweli unachukua mkoko wako ofisi ya kata unaenda kazini
Na kudanganyana mjini usafiri bana nyumba nani anaijua
Ila maisha sio hivyo na wala usiishi ili fulani akuone au akusifie
Ishi kulingana na maisha yako na ishi kulingana na kipato chako na jipangie malengo yako na namna ya kukabiliana na maisha
Nakubali mjini usafiri una nafasi yake ila usitake ununue gari kwa mkopo wa kujiumiza ili umfurahishe fulani au zile story za vijiweni ili umpate dada fulani
Kama ni kupendwa utapendwa tuu bila hata huo mkoko wako
Na ukimuendea msichana ukitaka kujionyesha kwamba wallet yako imejaa na yeye atakuchukulia the same kuwa wallet imejaa
 
Kweli kaka mtu unakubali kukatwa asilimia 50% ya mshaharakwa miaka hata mitano kisa mwanammke
Hii risk kubwa hivi kwa nini uibebe kwa ajili a watu?
ni heri kutumikia kifungo gerezani kulikonikuishi maisha ya mateso kwa ajili ya watu
 
ume ni inspire sana Smile kwasababu most of us tamaa nyingi ila i got alot of answer from your thread. Barikiwa sikuku njema ma dada
acha tamaa uza iyo gari rudisha mkopo wa watu uishi kwa amani
 
Trust me- sosholojia ni muhimu sana duniani hapa. Watu wanafight to get in na kustay in...Usipokuwa na gari kuna class flani ya watu huwezi mingle nao hata kama kwa kipato mko sawa au umewazidi. Labda unataka umuoe bi shosti wa class flani kisha competitors wako wote wana magari...Yani Imani inawashuka sana nyie dada zetu...Kwa sababu hata ww ukienda kuomba ushauri kwa shostito wako atakuambia;'mwanaume lazima awe na uwezo wa kukutunza/lea' japo wewe una hela na zipo kwenye hisa huwezi prove uko na uwezo wakumlea kwenye macho yao...hapo tayari mwenye gari kachaguliwa.

Sure umeongea fact, kuna watu huwezi mingle nao bila kuwa na usafiri eti kisa huwezi mpandisha daladala.
Jamani tuongee facts kuliko maisha ya fairy tale na kwenye vitabu. Siku hizi 90% ya girls wako after material things yani akiona una kigari ndo unaanza fikiriwa kupewa nafasi.
Hii ndio reality haya mengine ni story tu hai apply kama girls ambao wanapenda mtu kwa kila hali sikatai kama hawapo ila ni wachache sana na mpaka umpate si rahisi na vigumu kumjua.
 
wewe angalia ni ni nini umeweka mbele katika maisha yako? kwanini uishi ukipretend?
 
Smile hivi umeolewa,,? maana ushauri wako hapa unaonyesha kama ni vitu vingi umejifunza na ukakubali kubadilika..Kama kweli unamaanisha unafaaa kuwa mke bora kwangu maana tunaendana..ila isije ukawa unatuambia sisi tu kumbe your one of them!!!
 
Kweli kaka mtu unakubali kukatwa asilimia 50% ya mshaharakwa miaka hata mitano kisa mwanammke
Hii risk kubwa hivi kwa nini uibebe kwa ajili a watu?
ni heri kutumikia kifungo gerezani kulikonikuishi maisha ya mateso kwa ajili ya watu

Yah ni risk sana lakini ulishajiuliza kwanini una fight sana maishani upate ela?
Utanjibu ili upate maisha mazuri na mahitaji yote unayotaka.
Kati ya maisha na mahitaji unayohitaji hapo kuna mdada mzuri ambaye si ajabu upendo wako utaangukia kwa mdada ambaye nah car i cant give a chance japo hatakwambia directly lakini dalili utaziona kuptia watu anao mingle nao.
Fact ni kwamba maisha sasa hivi yamekuwa tofauti. Kuna maisha ya kwenye vitabu na hadithi na maisha halisi ambayo siku hizi maisha halisi ni kuigiza, mademu wanaigiza uzungu mwingi ndo maana ukikaa pale mlimani city, shoppers na kwingineko angalia wasichana wanaopita wote wanaongea kingereza na hao ndio wale wale ambao bila kausafiri humpati.
Maisha yamekuwa kama masomo na wanafunzi wa vyuo, yani ukitoka chuo ukaingia mtaani unakuta real life ni tofauti na hayo uliosoma na watu wanafanya biashara kwa style tofautina uliyosoma.
Ndivyo maisha yalivyo ndio maana kila kitu tunaigza, kubeba maua kumpelekea gf, sijui suprise, sijui nini yote ni kujaribu kuimpress hawa watoto ambao wanajifanya wazungu sana.
 
Nimeishi Ulaya na private tranport tulikuwa tunatumia weekend tu, weekdays tunatumia Public transport, nadhani huna ufahamu na unachokisema na wala hujui ni nini maana ya kumiliki gari yako binafsi.

Du hana ufahamu na anachokisema, au hana ufahamu na lifestyle ya Ulaya? Na lifestyle ya Ulaya ndiyo the right one au?
Argument yako ilikuwa nzuri lakini hapo tu ndipo ulipoharibu!
 
Smile hivi umeolewa,,? maana ushauri wako hapa unaonyesha kama ni vitu vingi umejifunza na ukakubali kubadilika..Kama kweli unamaanisha unafaaa kuwa mke bora kwangu maana tunaendana..ila isije ukawa unatuambia sisi tu kumbe your one of them!!!
huna mkopo wewe? sitaki kuishi kwa vijihela vya wasiwasi
 
wewe angalia ni ni nini umeweka mbele katika maisha yako? kwanini uishi ukipretend?

Yah nakubariana na wewe asilimia zote wajua kila mtu anahitaji kuheshimika nadhani hata kwenye psychology ipo hiyo.
Yani ifikie sehemu aweze kuwa katika class flani aweze mingle na watu flani sasa hapo ndiyo maana watu wanaigiza wanakopa wanunue magari wapate heshima maana siku hizi mwenye gari anaheshimika kuliko mwenye nyumba hahaha.
 
heshima gani wakati unateseka bwana? heshima inaanzia kwako mwenyewe.hvi unaweza kujiheshimu while huna hata elfu kumi ya kumpa mama yako kijijini kweli?
 
Kwa nini mtu asiwe na gari kama ndo furaha yake?

Yeye anaishi sasa, afikirie wajukuu imehusu na nini?
 
Sure umeongea fact, kuna watu huwezi mingle nao bila kuwa na usafiri eti kisa huwezi mpandisha daladala.
Jamani tuongee facts kuliko maisha ya fairy tale na kwenye vitabu. Siku hizi 90% ya girls wako after material things yani akiona una kigari ndo unaanza fikiriwa kupewa nafasi.
Hii ndio reality haya mengine ni story tu hai apply kama girls ambao wanapenda mtu kwa kila hali sikatai kama hawapo ila ni wachache sana na mpaka umpate si rahisi na vigumu kumjua.

Mkuu umeongea
Ila kwanza wewe jifikirie wewe na maisha yako na je maisha hayo unayotaka kuishi ni sawa na kipato chako
Au kwa kuwa unamfuatilia dada ambaye bila mkoko huwezi kumpata kw ahiyo bora uingie kwenye kitanzi cha mkopo na kujibana bana
NA je una uhakika wa kuwa hutajitia kitanzi kwa kuingia kwenye hali hiyo ya maisha ili umfurahishe fulani
Ukishafikiria hayo mkuu hutajiingiza kwenye kitanzi
Nakubaliana na wewe kumpata yule ambaye anakukubali the way ulivyo na anayeyakubali maisha yako kama ulivyo ni ngumu sana ila tunapambana ili kumpata na kupambana kwako kusiwe kwa kuteseka ila kwa kujipangia namna ya kuyakabili maisha
 
Tatizo lako Smile unadhani ninachosema mimi ndivyo nilivyo, siko hivyo mimi binafsi nina gari yangu yangu Toyota Hilux Surf, Diesel Engen in good Condition lakini usishangae ukiniona napanda daladala maana siishi kwa hisia za watu wengine.

Unachopaswa ukifahamu ni kwamba maisha yamebadilika sana na Watanzania wana dharau sana imefikia kama huna kitu cha kuonekana basi wewe si lolote, na ukumbuke kwa nature ya binadamu hakuna anayependa adharalaulike mbele ya jamii, hii ndiyo inachangia Watanzania wengi tunaishi maisha ya kuigiza, binafsi mimi sasa hivi nimeshajiondowa kwenye mambo ya kuchangia harusi kiholeholela kila mwezi. am original and not copy.

Hapo kwenye RED, KAKA ubarikiwe, harusi imekuwa tatizo kubwa sana fedha zinaishia huko, just imagine leo nina kadi 16 kila kadi wamesema sio chini ya sh.50,000/- sasa nafanyia michango ya harusi? Tuachane nayo mambo hayo
 
Smile upeo wako mdogo sana!!! Tafuta pesa ikutunze wewe,mkopo muhimu sana na pia kujenga heshima mtaani lzm uvute mkoko kuwafunga midomo wambea!!! Wewe unaowazungumzia ni wauza sura,hata mengi,manji,rostam wamekopa na wanakopa,sirikali yako inakopa,sasa unataka wote tujenge nani atapanga? Ndio kwanza hata 30 ujafika ya nini kuangaika kujenga? Gari kwanza kujenga next,site utaenda kwa mguu?
 
Mkuu umeongea
Ila kwanza wewe jifikirie wewe na maisha yako na je maisha hayo unayotaka kuishi ni sawa na kipato chako
Au kwa kuwa unamfuatilia dada ambaye bila mkoko huwezi kumpata kw ahiyo bora uingie kwenye kitanzi cha mkopo na kujibana bana
NA je una uhakika wa kuwa hutajitia kitanzi kwa kuingia kwenye hali hiyo ya maisha ili umfurahishe fulani
Ukishafikiria hayo mkuu hutajiingiza kwenye kitanzi
Nakubaliana na wewe kumpata yule ambaye anakukubali the way ulivyo na anayeyakubali maisha yako kama ulivyo ni ngumu sana ila tunapambana ili kumpata na kupambana kwako kusiwe kwa kuteseka ila kwa kujipangia namna ya kuyakabili maisha

Kila mtu anahitaji kuwa happy mkuu, ukiona mtu kachukua mkopo ujue ana pursue for happiness anataka awe kwenye status flani ndipo ataridhika kwamba na kufurahia.
Siku hizi maisha yamekuwa kuigiza in every step ni watu wachache ambao wako real everybody is trying to impress someone.
Utasikia mtu anasema ngoja ninunue mkoko mademu wa mtaani watanikoma. Rocky najua unajua namanisha nini
 
Back
Top Bottom