Habari zenu?
Kama uko single na hutajali
naomba kampani yako, ni kamapani ya mambo yooote isipokuwa sex tu. Mambo kama
kuhang out pamoja, kwenda church kama ww ni muendaji na kubadilisha uzoefu kwa namna mbalimbali.
Najihisi kuboreka so nimeona nitafute mtu wa kubadilishana nae uzoefu kuhusu lifeee huenda nkapata jipya la kujifunza. Umri awe kuanzia 29 years+. Niko serious wapendwa.
Kuhusu gharama kila mtu atawajibika kwa gharama zake. Nahitaji wawili so kama utapenda niinbox kwenye
mbynature@rocketmail.com. Hii ni kwa walio serious tu na si utani.
Mbarikiwe...