goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 943
- 1,110
Kuna mahali popote palipoandikwa kupigana? Au hujui tofauuti kugombana na kupiganakwanini upigane na mwanamke? Tuanzie hapo
Kwa niaba ya mlengwa na mimi ntachukua ushauri ilio bora na kumfikishiaTunajibu kwa niaba ya nani? Maana wewe unauliza kwa niaba ya mtu.
Nahitaji tofauti ya kugombana na kupigana?Kuna mahali popote palipoandikwa kupigana? Au hujui tofauuti kugombana na kupigana
Mkuu hilo la kumpiga chini halina mjadala ila tu jamaa anachowaza ni namna gani au ni kwa vipi hio kesi ilivyo kaa polisi na namna ya kuimaliza.Piga chini huyo si mwanamke. Mimi hata mzazi wangu au ndugu wa tumbo akanipeleka polisi na bahati mbaya nikalala mahabusu. Undugu na uhusiano umehitimishiwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Katafute kamusi ndo urudi hapa alafu ww kasichana usipende kushobokea shobokea mada zinazokuzidi umri. Wakubwa zako wakiwa wanaongea ww kimbia kacheze mbali. Shwaiiiiiiiìininahitaji tofauti ya kugombana na kupigana?
Nelson(Nelly) unakalia weweKatafute kamusi ndo urudi hapa alafu ww kasichana usipende kushobokea shobokea mada zinazokuzidi umri. Wakubwa zako wakiwa wanaongea ww kimbia kacheze mbali. Shwaiiiiiiiìini
Kwa iyo ingekuja kwako ungejitahidi ununue mashahidi wa uongo ili tu unikomoe si ndio?Kwanini ulimpiga mkeo? mwanamke apigwi mzee hilo ni kosa kubwa sana, huyo mwanamke kama ana akili timamu asingeweza kwenda polisi na hao ndugu zake kama kungelikuwa hakuna tatizo kati yenu, kosa lako ni kumpiga mkeo ni unyanyasaji wa kijinsia na endapo hii kesi ingekuja kwangu basi wewe ungekuwa mfano kwa wengine wenye tabia ya kupiga wake zao, mwanamke anapigwa kwa maneno tu na siyo ngumu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo kwa maelezo mafupi tu haya umekamilisha ushahidi kua alimpiga mke wake?Kwanini ulimpiga mkeo? mwanamke apigwi mzee hilo ni kosa kubwa sana, huyo mwanamke kama ana akili timamu asingeweza kwenda polisi na hao ndugu zake kama kungelikuwa hakuna tatizo kati yenu, kosa lako ni kumpiga mkeo ni unyanyasaji wa kijinsia na endapo hii kesi ingekuja kwangu basi wewe ungekuwa mfano kwa wengine wenye tabia ya kupiga wake zao, mwanamke anapigwa kwa maneno tu na siyo ngumu.
Sent from my iPhone using JamiiForums