goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 944
- 1,108
Kuna rafiki yangu wa karibu sana amezinguana na mkewe kama wiki 2 zimepita. Kwa influence ya wazazi wa binti imefunguliwa kesi ya kuwa jamaa kampiga mkewe na kumuumiza hivyo kwa madai ya jamaa baada yakuitwa polisi aliambiwa mkewe alifika pale kuchukua PF3 na akaenda hosptal akiwa na kaka zake.
Baadae mkewe aliondoka akamuaga mumewe kuwa anaenda nyumbani kwao na atarudi. Japo aliondoka na kaka zake ila hakusema kuwa ameenda kumshtaki jamaa polisi au hospital.
Jamaa ndo jana kapigiwa simu polisi akaripoti na baada ya kumchukua maelezo jamaa alikana kuwa hajampiga. Mshtaki ambae ni mke wa jamaa hakuwepo ila ajabu jamaa kawekwa mahabusu ndo bosi wake kazini akaenda kumdhamini.
Na ameambiwa arudi polisi wiki ijayo
Sasa wadau na wanasheria hii kitu imekaaje nimshauri nn jamaa yangu