Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Wakuu,
Hili swali naulizwa sana.
Tafsiri sentensi ifuatayo katika Kiingereza,
"Baba, mimi ni mtoto wako wa ngapi?"
NISAIDIENI WAKUU.
jibu swali sio kuwa kama punguani kama ulivyosema hapo juu.Kama haujuwi wewe ni mtoto wa ngapi kwa baba'ko basi wewe ni punguani.
Lugha zingine hazina ujinga ujinga huo.
[emoji121]Kama haujuwi wewe ni mtoto wa ngapi kwa baba'ko basi wewe ni punguani.
Lugha zingine hazina ujinga ujinga huo.
[emoji121]
MKUU,
JIBU LAKO LIMEKAA KIKISIRANI ZAIDI BAADA YA KUJING'ATANG'ATA NA KUSHINDWA KUTAFSIRI.
NIJIBU KWA MATAKWA MUKTADHA WA LUGHA,
NA SIO KUTAFUTA MANTIKI YA UZAWA.
jibu swali sio kuwa kama punguani kama ulivyosema hapo juu.
swissme
Wakuu,
Hili swali naulizwa sana.
Tafsiri sentensi ifuatayo katika Kiingereza,
"Baba, mimi ni mtoto wako wa ngapi?"
NISAIDIENI WAKUU.
[emoji121]Soma jibu langu kama hukulipeda weka wewe jibu lako.
Wacha porojo.
Soma jibu langu kama hukulipeda weka wewe jibu lako. Wacha porojo.
We are wasting time for stupid questions instead of valid questions.
Hilo swali linakusaidia nini wewe kwenye maisha yako ya kila siku?
Punguani wahed.
ccSoma jibu langu kama hukulipeda weka wewe jibu lako. Wacha porojo.
We are wasting time for stupid questions instead of valid questions.
Hilo swali linakusaidia nini wewe kwenye maisha yako ya kila siku?
Punguani wahed.
[emoji121]Soma jibu langu kama hukulipeda weka wewe jibu lako. Wacha porojo.
We are wasting time for stupid questions instead of valid questions.
Hilo swali linakusaidia nini wewe kwenye maisha yako ya kila siku?
Punguani wahed.
[emoji121]
LINANISAIDIA,
KWA SABABU NAWAFUNDISHA WATOTO!
KAMA HUJUI PIGA KIMYA,
NA SI KULETA UZEZETA WAKO HAPA!
[emoji121]Kwa hiyo unawafundisha watoto kuwauliza baba zao wao watoto wa ngapi?
No wonder Mitoto ya Kitanzania ni mijinga sana, ikiwa wafundishaji wenyewe ni kama wewe.
[emoji121]
AKILI HATA 1 HUNA!