KWA WAJANJA Tuuu!!

KWA WAJANJA Tuuu!!

Andika Number yake pembeni kama imeandikwa juu ya DVD.

Ingiza DVD ya Windows 7 kwenye DVD Rom na nenda Hatua kwa hatua hadi uingize yote.

Kama hufahamu Kiingereza basi inaweza kukusumbua kidogo. Pia kama ndani kuna Program nyingine tayari mfano Windows za zamani, pia yaweza kukusumbua.

1. Kama una data kwenye Section C ambako ndipo utaweka W.7 basi hakikisha unaondoa kila kitu na kuweka kwenye Section D au nyingine ya Hard Disc.
2. Nenda kwenye BIOS na hakikisha kwamba bios imewekwa ili isome kwanza kwenye DVD ROM.
3. Weka DVD yako kwenye ROM na start your Laptop.
4. Format Section C na anza kuisntall hatua kwa hatua maana itakuelekeza.
5. Uwe umejiandaa kuandika Key Number ya Windows 7 yako.

Angalia Video kadhaa kwenye YOUTUBE zitakusaidia maana haijulikani kama una Laptop mpya, imetumika, ndani kuna nini nk nk.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom