Kwa Waislam tu: uwanja wanaoswali idd el hajj!

Kwa Waislam tu: uwanja wanaoswali idd el hajj!

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Assalam alleykum! Ndugu zangu kiimani mimi nipo maeneo ya Sinza mitaa ya lion hotel natafuta sehemu wanakoswali swala ya Idd el hajj leo niwahi.
 
Assalam alleykum! Ndugu zangu kiimani mimi nipo maeneo ya Sinza mitaa ya lion hotel natafuta sehemu wanakoswali swala ya Idd el hajj leo niwahi.
Mkuu sisi hapa Ukonga tunaswalia Kitunda au Gongo la mboto.
 
Jazzakkallahur khair! Ngoja nijitahid kwa kipando changu kuwahi Biidhinillah Inshaallah
Inshaallah,lakini maeneo ya Kimara pia kuna sehemu nimesikia wanaswali saa1.30,so nenda hapo mitaa ya Kimara Mkuu kama Sinza hakueleweki inshaallah.
 
sisi mbona tunafunga ..tunasherekea Kesho, tunafunga jana na leo!
 
1381810502337.jpg
 
Assalam alleykum! Ndugu zangu kiimani mimi nipo maeneo ya Sinza mitaa ya lion hotel natafuta sehemu wanakoswali swala ya Idd el hajj leo niwahi.

Msikiti wa mwenge, au kawe nyuma ya oilcom, wahi.... ndio twamalizia kuswali
 
katika afrika tanzania pekee wanaoswali idd mbili,yaani leo na kesho.kwingineko leo, daaa bakwata innalillah.....acheni tu tuwapinge ,wao wamefunga jana huku wanawadanganya wengine wafunge leo.
 
BAKWATA ni janga la kitaifa ndio maana sheikh Ponda alitaka kuwaondoa kwa nguvu.

Yaani yeye Sheikh Simba jana amefunga Arafa kule maka halafu sisi wenzake anataka tufunge leo siku ya EID hivi hawa wazee wa Bakwata wanaugua maradhi ya kichwa? au ndio uzee umewajia vibaya?
 
idd njema jamaa zetu wote mnaoswali leo na wale wa kesho. Songea nimewaona hapa bustan ya manispaa mkabala na Hospital ya mkoa.
 
idd njema jamaa zetu wote mnaoswali leo na wale wa kesho. Songea nimewaona hapa bustan ya manispaa mkabala na Hospital ya mkoa.

Sikukuu ya hawa jamaa hazieleweki... mara zinaniharibia ratiba.. any way sikukuu njema eitheir ni Idi mubaraka au idi nani....?
 
Watu wameswali viwanja vya Jangwani, Kidogo Chekundu, Mburahati Barafu.
 
Back
Top Bottom