Watu wameswali viwanja vya Jangwani, Kidogo Chekundu, Mburahati Barafu.
Kesho wanaswali Bakwata mawakala wa mfumo kristo.Hivi kesho ni sikukuu ya nini? Hata hili nalo ni mfumo kristo?
Watu wameswali viwanja vya Jangwani, Kidogo Chekundu, Mburahati Barafu.
Ni haram kufunga siku ya Eid
kwa wale wakazi wa songea mjini.karibuni viwanja vya zimani moto.
Watu wameswali viwanja vya Jangwani, Kidogo Chekundu, Mburahati Barafu.
jamani embu mnieleweshe, hivi huu mchanganyo wa siku unatokana na nini?
nchi zingine kwa mfano kenya, uganda na wengineo wao wamesherehekea leo au nao ni kesho? Ritz
Ahahahaah..We jamaa unatapatapa.Mfumo Kristo unalelewa na CCM unayoipenda na kuiabudu.Pole sana.Kesho wanaswali Bakwata mawakala wa mfumo kristo.
Kesho wanaswali Bakwata mawakala wa mfumo kristo.
huna haja ya kuchanganyikiwa dada yangu Heaven on earth jambo la muhimu ni kuachana nao,me nmeshuka kwenye boti yao zamaanihawa Bakwata wanatuchanganya sana.......