Bleazy moha
Member
- Mar 10, 2020
- 10
- 3
Mmmh uko sawa mkuu ila ukiona MTU anaposti kwa njia ya simu basi ujue yupo mbali kijijini kwahyo lengo la kuposti humu nikama kutafuta ushauri na sio kuwasumbua nyinyi so please??Unakaribia kupigwa! Kila mkoa kuna maduka ya kuuza na kununua madini! Peleka sampuli watakwambia
Hahhaha! Wee jamaa ulivyotamka tu huko mbali kijijini nimekusoma kuwa wewe ndo unataka kupiga watu kwa biashara hiyo ya madini feki! Tafuta njia halali ya kujipatia kipato! Acha utapeli utachomwa moto!Mmmh uko sawa mkuu ila ukiona MTU anaposti kwa njia ya simu basi ujue yupo mbali kijijini kwahyo lengo la kuposti humu nikama kutafuta ushauri na sio kuwasumbua nyinyi so please??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaah sawa kWa fikra zakoHahhaha! Wee jamaa ulivyotamka tu huko mbali kijijini nimekusoma kuwa wewe ndo unataka kupiga watu kwa biashara hiyo ya madini feki! Tafuta njia halali ya kujipatia kipato! Acha utapeli utachomwa moto!