Kwa wadau wa madani...

Bleazy moha

Member
Mar 10, 2020
10
3
Wataalamu wa madini eti hayo ni aina gani ya madini?
IMG_20200312_094546.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh uko sawa mkuu ila ukiona MTU anaposti kwa njia ya simu basi ujue yupo mbali kijijini kwahyo lengo la kuposti humu nikama kutafuta ushauri na sio kuwasumbua nyinyi so please??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha! Wee jamaa ulivyotamka tu huko mbali kijijini nimekusoma kuwa wewe ndo unataka kupiga watu kwa biashara hiyo ya madini feki! Tafuta njia halali ya kujipatia kipato! Acha utapeli utachomwa moto!
 
Back
Top Bottom