Unaonekana mrembo Mara anapita jamaa anakukatia mistari ,kwa sababu ya ujinga wako na we we unakubali on first day eti kwa vile jamaa amevaa vizur,handsome ama ana hela huo ni uzembe wa aina yake ...
. pambana huwezi jua Huyo ni wa aina gani kabla ya kupata ngoma
Alisikika "Mlevi nyanjajonga" akisema
Kabla ya kuongeza neno..................🌚🌚🌚
. pambana huwezi jua Huyo ni wa aina gani kabla ya kupata ngoma
Alisikika "Mlevi nyanjajonga" akisema
Kabla ya kuongeza neno..................🌚🌚🌚