Kwa wadada wenye magari tu

Kuna watu wanatetea ujinga eti gauni refu linasababisha ajari ndo uvae mpaka chupi ionekane si uvae atleast ifike magotini pumbavuuu
 
Mie naendeshaga baiskeli na mini, nikipata gari nitaendesha na bukta😛ray2:
 
I find it sexy dealing with girls in mini.
Napenda mke wangu akivaa mini akae hapo pembeni.
Nayashika nikijisikia.
 
Mila na tamaduni ni kufunika manyonyo na papuchi tu, vingine vyote vinakuwa fahari ya macho.
 
wee mbona mchonganish hivooo???? mie sikumaanisha huyu, yule mwingineee shauri lako.
Hata hivo mambo ya pemba yaliishia pemba japo yalianzia hapa looh

Ha ha ha! Basi kama siye anisamehe!
 

Thumb up kama umeliona hilo wadada hasa wa mujini dar ni shida kwakweli
 
Daaah, kuna siku nilikuwa na rafiki yangu akaniuambia twende wote kuna sherehe ya rafiki yake, basi jamaa akaambatanan na mkewe. Akanishauri niache gari langu twende na gari lao tu. Jamaa akawa anaendesha, mkewe kakaa mbele kushoto kwa dereva na mimi siti ya nyuma.Tulipofika parking ikawa changamoto basi upande wa kushoto ikawa nafasi imebana ikabidi wote tushukie upande wa kulia. Hapo shem ikabidi atokee mlando wa dereva. Jamani macho hayana pazia, kinguo kilikuwa kifupi sasa ile anashuka akawa naked mamaaaaaaaaaaaa, mpaka chupi ilikuwa inaonekana nikaamua kugeuka ghafla kuzuga kama napiga chafya nikageukia upande mwingine. Bahati nzuri wakati huo mumewe alikuwa kaenda upande wa pili kuongea na walinzi kuhusu usalama wa gari hakuona tukio.

Siku nyingine tukawa peke yetu mi na shem tunadrive gari moja mimi ndo naendesha, shem akaniambia shem am sorry kwa ulichoona jana najua nimekukwaza. Nikajifanya sijui anaongelea issue gani, basi akanikumbusha..... daaaaah, hivi alikuwa ana haja gani kunikumbushia? Mpaka nimewaza mengi labda ananitaka, alafu mtoto mwenyewe mzuri balaaaa. Ila kwa mujibu wa biblia ukishamtamani umekwisha kuzini nafsini mwako, sasa mimi si tayari nimeshazini?
 

Wewe na hiyo familia ya huyo rafiki yako mpo karibu sana?
Kila wakati upo nao.
 
raha zaid ni pale anapokuwa kwenye gari, kakaa, anaendesha, kimin kimepanda juu na haitaj kukivuta kwan anaamin yuko peke yake na hamna anayemuona,
alaf unamu_overtake, unatupa jicho kidogo, hapa wanaofaid zaid n wenye pikipik, abiria walioka kushota na dereva km gari n LHD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…