Kwa wadada wenye magari tu

Hahahahahahahahahahah kaka aaa watoto hawataki joto kali bwana acha tupate raa tusuuze nyoyo -----:A S-omg:---- Kwani wewe hupati raaaa kuwaona ????
 
Vipi Unguja umeshaenda?

Tupate mrejesho!

Unguja nilienda na niliyokutana nayo huko yamebakia huko huko. In other language what happens in Vegas remain in Vegas.

Msalimie Faini mwambie imekula Kwak. .....😎
 
Unguja nilienda na niliyokutana nayo huko yamebakia huko huko. In other language what happens in Vegas remain in Vegas.

Msalimie Faini mwambie imekula Kwak. .....😎

Nimekuelewa, ukiambiwa urudi utakubali?
 
Inabido wanawake muanze kuvaa nguo kabla za enzi za kuingia waarabu na wazungu....

Badalanya magome...mtafute vitambaa tu mzibe nyapu....

Itasaidia kutowasema bila kujali una gari au huna
 

hahahahah Preta una maneno??? ila umemaliza sina nyongeza
 
Hahaha hahaaa
Kwa hili naungana na UKAWA kuwa sirudi Misri nasonga mbele kuelekea Kaanani.
Ila umenitabasamisha kwanguvu looh teh teh teh

Ha ha ha, nimeuliza ili nijue uliinjoi au la!

Maana ungeinjoi ungetaka kurudi tena!
 

Basi mkiwa mnatelemka kwenye hayo magari yenu msiwe mnavishusha chini na kuvivuta vuta, acheni viwe hivyo.

Shida ni kwamba umekavaa mwenyewe,ukishuka unaanza kuhangaika kukavutavuta ka nini, ulitaka watu waone sasa unahangaika nini kufunika,weka wazi hiyo milonjo na mbunye watu wajionee bure.
 

Tawire baba.........
 
raha ya kimini ni kukivutavuta kwa chini, raha ya wig ni kuzigusagusa nywele zisielekee machoni
 
Ukiona hivyo ujue genye zinawasumbua na kama wana wanaume hawawafikishi vizuri au wanatangaza biashara. Kwa mwanaume ukiwa unaona sehemu nyeti ovyo unamkinai mwanamke mapema. Anatakiwa afiche upate shauku za kuziona. Ndiyo maana wadada wengi wakitanzania wanakinaisha mapema.
Muache hizo tabia dada zetu. Mnatufadhaisha sie wengine ndiyo maana memory zetu hazifanyi kazi vizuri kwa kujenga picha ya kuwachukulia wanawake kama vyombo vya starehe. Wenye akili timamu watakuwa wameelewa ila malofa na wapumbavu wataendelea na tabia hizi za kishenzi...
 

Inaonekana una hasira ila vimin hatuachi ng'o hilo vuzi ukiliona wee linakuhusu nini?
Kero yako starehe ya mwenzio babu weee.
 
Ha ha ha, nimeuliza ili nijue uliinjoi au la!

Maana ungeinjoi ungetaka kurudi tena!

Muulize mhusika kama alinikirimu vya kutosha au alikimbia au alibwabwaja tuu

Kurudi tena....... narudi kwa mtu anayejiamini na anaesimama mwenyewe na sio kwa mtu anayepelekeshwa kama rimoti na kukrontoliwa kama mtoto. Nirudi mahali ambapo hata kukumbatia anauliza nikumbatie au ......

By the way Kasie hasubiri mtu ampe raha au enjoyment, nainjoy mwenyewe kwa nafasi yangu na raha zangu.
Wasalimie wote hao waliokaa na wewe na huyo aliyekaa jirani yako looh
:high5:
 


sometimes they may need you to press their o/s button akiwa na hizo zingine inakuwa ngumu.
 

Ha ha ha, jamaa na maneno yake mengi hivi alikimbia?

Mkuu Micheweni Pemba una kesi ya kujibu.

 
Last edited by a moderator:
una maanisha hivi?
 

Attachments

  • 1441724021584.jpg
    19.4 KB · Views: 272
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…