ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Kumpikia mwanaume ni alama ya appreciation.Sisi sio wafanyakazi eenu ni wasaidizi wenu
Makongamano ya msioolewa yatakuhus sanaSisi sio wafanyakazi eenu ni wasaidizi wenu
Haahahahahahahahahahah mi G anajua kupika wewe nna raha jamani yaan nimeokota almasi kwenye maweWanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zak hawajui hata kupika chai.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa ila. i know wanawake wengi hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Sawa ntapika ila vya ngano chengaKumpikia mwanaume ni alama ya appreciation.
Sasa wewe jifanye unaleta kiburi atapikiwa na michepuko
AhahahahhahMakongamano ya msioolewa yatakuhus sana
Baba angu mdogo kamuoa mama angu mdogo ambaye hawez hata kukaanga karangaHaahahahahahahahahahah mi G anajua kupika wewe nna raha jamani yaan nimeokota almasi kwenye mawe
Huku bado ni saa 6 usiku.hahah leo kumekucha
Whatingggggg....Baba angu mdogo kamuoa mama angu mdogo ambaye hawez hata kukaanga karanga
Ila toka 2005 wamo tuu.
HahahaWhatingggggg....
Me natimua na jeraha nakuachia.