kwa wadada tu

Unadhani basi inakuwa mwanaume hana hela wakati mwingine ni issue ya TIMING tu..
Sasa kwenye uBF/GF unataka tena nianze kuhudumia familia yako!..EBO!!!
After all kama unacho kipato..kelele za nini..kwani usingempata huyo bwana ungeishi vipi??
Na kama ni kipochi mbona hata wewe unaenjoy...cha kufia nini bwana??

Hamna hyo,
Tatizo lenu mkikaribishwa tu mnataka mjenge Mdule.
 
Ha ha ha, pusi zina price tag siku hizi,pole yake mkaka, hakujua kwamba feminine ni dependent creatures,,,in their bible kuna verses z. prada,gucci, cassandra, n.k
 
na unakuta hakupi kitu bado mpo kama 8 hivi wanaume sio bora CCM (chukua chako mapema) acha akuone unajiuza, malaya akitaka bure hata binam yake anayo
 
ukisikia mwanaume kama binti ndo huyo.
Hajui ku..mba, hajui kuhonga
Alaf sasa ndo unakuta amepata dem akare balaa
ukimwacha usisahau kunipa thanks
 
Wewe ni mwanamke bora kabisa. Nimekugongea LIKE kuweka msisitizo.

Vipi yule bazazi aliyetaka kukunaniliyu 0713, ushampiga chini au bado ukouko kwanza mpaka kieleweke?
 
Wewe ndie mwanamke unayefaa.
Lakini avatar yako inafanana na Bethany Benz, inanitisha.
 

Kama wewe unajiweza kimaisha bila msaada wa mume kwanini utake kupewa kitu- hela au zawadi kwa kufanywa na mwanaume? Je unajiuza kama wale wa magot, Ohio?? Na kama huuzi je kwanini ulikubali kufanywa na huyo jamaa? Alikudanganya kuwa ni mtoto wa waziri na kumbe ni choka mbaya? au alikwambia ni mfanyabiashara mkubwa kumbe machinga au mpiga debe? Wewe ulimpa chucha yako kwa kutegemea kulipwa na yeye au kupewa zawadi au akuhudumie kwa maisha yako yote? Hukuwa na mapenz nae? Kabla hujampa chucha yako akojoe hukujua yote haya kuwa ni bahili au hana kitu? Huku ni kujidhalilisha kama umempenda mtu hata kama hana kitu na hakupi hata big G hutalalama na hata shosti zako wakikwambia jamaa muuza dagaa hutajwali utampanulia kutwa mara tatu ila kama ulikuwa unauza au unatoa huduma kwa kutegemea malipo maswali unayoouliza ni sahihi.
Ningekuwa mimi kama kweli nampenda nitamlinda na nitaendelea kumhudumia hadi atakapokuwa financially stable, pia kama ana hela na ni bahili maadam nampenda nampenda tuu na kumuacha au kumfukuza ni siku atapocheat. Ila kama nilikuwa nategemea malipo kutoka kwake basi nitamwambia huduma zimesitishwa na asepe na hapo hutakuwa tofauti na wale wanaouza huduma.
 
inamaana yeye anavyo kuja kwangu anakua kaolewa na mimi au tena linakuja linakula bure kila kitu bure looooooooo halina hata haibu shost litoe baruuuuuuuuu litakuletea balaaaaaaaaa bure
 
Kwani wewe ni mama huruma kama mama huruma endelea mpendwa wangu,

kuna mmoja nimetoka kumtimua juzijuzi tu hapa, hela ya kwenda bar kulewa anayo,

Ya matumizi mbalimbali mimi na yeye hana, sasa unakuaa na lijitu la hivyo ili iweje, isitoshe huyo sio kwamba hana hela isipokuwa kishajua unajiweza ndo linakaa tu mbweteeeeeee. MTOE BARUUUUUUUU
 
Si muoane ndo akutunze?hata hajakuoa mbona walalamika?ungekuwa mke hapo ningekuelewa


Mmmh! mwache alalamike maana kunamijanaume mingine imezoea vya bure na hela anazo kila mara kununua magari mapya, simu mpya na kukaa baa kujisifia, yalinikutaga miaka iliyopita yani mtu mpaka akavunja kitanda changu kwa kudu on top of that hata kutoa hela ya matengenezo hapo ndipo niliposema basi. Kila akija kulala kwangu anapata huduma zote asubuhi breakfast ya nguvu jioni masaji kabla ya ku do na kuoshwa anaoshwa kama mtoto lakini wapi nilichoka nikatimua mbio za nguvu saa hizi naraha zangu huko nilikokwenda.
 
Midume ya hivi imekua miiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi mitaani siku hizi
 
labda awe anapita kupiga tu story hata kama hana hela kuna kuonyesha kujal kwa hata zawadi ndogondogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…