HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
hata hujiulizi huyu mtu anakula nn? kapendezeshwa na nanani unachomeka tu hata hujui sabuni ya kujitawa**** natoa wapi chapa malapa kuleeeeeeeeeeeee
Mimi na Ciello ni watawa, hayo mambo ya kutoa sijui "vitumbua" sijui "dudu" hatuyafahamu kabisaa. Labda ungezungumzia kutoa divai tungekuelewa kidogo.
hata hujiulizi huyu mtu anakula nn? kapendezeshwa na nanani unachomeka tu hata hujui sabuni ya kujitawa**** natoa wapi chapa malapa kuleeeeeeeeeeeee
una bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizi, hivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
Shoga angu hapo mtimulie mbali,
Cha kupanuana via vya uzazi kitu gani?
Afu bure,ptuuu...!!!
Yalishawah kunikuta hayo tena yeye alihamisha na matambara yake akaja kuyaweka kwangu.
Nilichomfanya siku hyo nikambebea minguo yake nikaenda kumwagia mchana kweupeee ofisini kwake.
Aibu shu.
Nashukuru Mungu alikuja kubadilika mpaka nikashangaa.
Hebu nawe tumia hii mbinu afu usubiri matokeo.
hafai hafai mkimbize
Nimecheka sana hii mada HorsePower my kaka na wewe umeshindwa kusoma heading haikuhusu tunakutupilia kuleeeeeee da kweli nimekuwa nimeona mengi big up Jf lol The Boss njoo utie neno huku kwa wadada SnowBall njoo ucheke mbavu zako huku Madame B anachekesha sana
Nooo ucmwite pacha wako bhana.
Nooo ucmwite pacha wako bhana.
Ah mi nimemwambia nna mslahi kwenye ugomvi wenu so hata sichangii
pacha na we umemuanzia nini bosss wangu tena!lol
ah mi nna maslahi hapa bana!
af na nyie wakina kaka hebuacheni K B K B K B!
Unaniingiza chaka shoga.