Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

jaman msinielewe vibaya mie nimeona mzee yuko mpweke nikaamua kumtengenezea kahawa na stor mbil tatu, kwan mlikuwa wapi?

Baelezee bana, maana wamekuja hapa na tuhuma zao eti nilikuwa nataka kusongesha na wewe, wakati ilikuwa ni mastori tu ya ujanani mtu na mjukuu wake............

african-american-woman-dating.jpg

snowhite, mwaJ na FP wana nongwa hawa..............LOL
 
Last edited by a moderator:
Hivi bado unaikumbuka ile habati ya choo cha kinu!
Ile sio mimi bana, nimeitoa kijiweni kwetu Mwananyamala kwa Ali Manjunju....................

Sio rahisi kuisahau ile story maana nilicheka sana! Halafu una deni la kuimalizia ujue. Mie nataka kujua kilichoendelea baada ya boss kuja.
 
Nasikitika nimechelewa kidate, looh..
Vipi leo hakiendelei

We Remmy nawe, kwani huwaoni wenzio wanasongesha hapa..........
Hapa pembeni yangu niko na Ciello nina kikombe cha kahawa mitaa ya The Kilimanjaro Grand Hyatt Coffee shop.....................

120208081803-african-american-couple-coffee-relationship-ovulating-story-top.jpg
 
halafu nina wasiwasi wewe na mwaJ, mmejipaka mkorogo na ndio maana mnavaa mahijabu kufisha nyuso zenu

All-workers-in-the-new-channel-%E2%80%93-named-Maria-%E2%80%93-as-well-as-the-guests-to-be-hosted-in-its-programs-will-all-be-women-wearing-the-%E2%80%98niqab%E2%80%99.-300x183.jpg

Weee! tupake mkorogo sie? Sisi sio watu wa "haidrokwinonini"! Mulugo anahusika hapo.Lol!

Ukiona tumevaa hivyo ujue uamsho wameshika mtaa na sie lazima tukatize hapo. Ukifunua hizo utakutana na vimin vya kufa mtu!
 
Sio rahisi kuisahau ile story maana nilicheka sana! Halafu una deni la kuimalizia ujue. Mie nataka kujua kilichoendelea baada ya boss kuja.

Ile stori siyo sinema za kina Ray, huwa ninaacha maswali ili hadhira itafakari...
Haya naomba mnipe nafasi nitete na My PAL Ciello
 
Last edited by a moderator:
Weee! tupake mkorogo sie? Sisi sio watu wa "haidrokwinonini"! Mulugo anahusika hapo.Lol!

Ukiona tumevaa hivyo ujue uamsho wameshika mtaa na sie lazima tukatize hapo. Ukifunua hizo utakutana na vimin vya kufa mtu!

"haidrokwinonini"!

Hili neno siyo kwamba umenitusi we mwaJ
 
Last edited by a moderator:
haswaaa sasa leo mtoko wapi?

Ngoja nitafakari maana sitaki hawa wanok nok wajue leo naenda wapi..........
Nishamuaga mama Ngina naenda kazini kuna Presentaton ya Power Point naenda kuiandaa ili tusongeshe bila kushtukiwa..
Ngoja nakuja na jibu hivi punde
 
Jamani snowhite cacico Madame B FP njooni mumsome huyu papito! Kumbe kamdanganya Mama Ngina kuwa anaenda kazini kumbe anapanga outing na Ciello! Halafu Ciello wewe si ulikuwa kwenye kambi yetu ya kumtetea mama ngina wewe? Leo imekuaje uko upande wa Mtambuzi?
 
bado ni memba wa kambi yenu sema mie namlindia kwa ukaribu so mwambie asiwe na hofu amlee junior vizur
 
Last edited by a moderator:
Jamani snowhite cacico Madame B FP njooni mumsome huyu papito! Kumbe kamdanganya Mama Ngina kuwa anaenda kazini kumbe anapanga outing na Ciello! Halafu Ciello wewe si ulikuwa kwenye kambi yetu ya kumtetea mama ngina wewe? Leo imekuaje uko upande wa Mtambuzi?

tatizo la waswahili bana, mie nimeomba casual outing kwa ajili ya kubadilishana uzoefu na mjukuu wangu Ciello nikijikumbusha mambo ya zamani na ya siku hizi, lakini nyie mnawaza mambo ya KISHETANI....
 
Last edited by a moderator:
We Remmy nawe, kwani huwaoni wenzio wanasongesha hapa..........
Hapa pembeni yangu niko na Ciello nina kikombe cha kahawa mitaa ya The Kilimanjaro Grand Hyatt Coffee shop.....................

http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/120208081803-african-american-couple-coffee-relationship-

ovulating-story-top.jpg

Sasa mbona napata wivu...
Unataka wadada wangapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom