Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

dodging-your-ex.jpg

Duh, hilo pozi lako Ciello, hakika waniumiza mtima wangu...

hahaha mzee hiyo mitego duh!.. kama unawinda ndezi! Si umvute tu mizunguko yote hiyo!!...lol
 
Last edited by a moderator:
yah nikupata!mwenyewe nimekuona mida ili nilikuwa sijapata swagga za kutokea

Hizo lugha zenu za vijana mie zimenipitia kushoto, sasa hiyo Shwagga ndio kitu gani tena,, hebu nifasilie kwanza isije ikawa wanitusi mzee mie....lol
 
mmmh we siyo sharo kwel? Manake mie nina aleji na masharo!

Achana naye huyo kwanza hana hata viunga vya minazi, njoo kwangu nitakumegea kiunga changu cha minazi huko Kazimzumbwi....
 
duh hii kal inamana nimechoka hivyo ova teja!

hebu, acha utani bana, unasinzia au unajifanyisha.....
hujanijibu lakini Je utanipaaa........................................Vocha ya simu nikwangue..................LOL
 
Back
Top Bottom