Kwa wadada na wakaka wa Chit Chat


Jeska mambo. . .
 
Last edited by a moderator:
Jeska karibu sana, mie ni anti yako na Filipo ni anko .Lini Utakula nyumbani?
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana dearest!

Mimi naitwa Kipipi binti Rweyemamu wa kwa Kalokora.
Kwetu ni kuleeeee Misseni Kagera ila ni mkazi wa kudumu wa ChitChat.

Akchwaree infwaakti . . . yuu aa welkamu!
 
Karibu sana dearest!

Mimi naitwa Kipipi binti Rweyemamu wa kwa Kalokora.
Kwetu ni kuleeeee Misseni Kagera ila ni mkazi wa kudumu wa ChitChat.

Akchwaree infwaakti . . . yuu aa welkamu!
Uko sahihi mupenzi
 
chunga sana wafuatao maana mabibi zao wanatembea na vikopo vya acid,wakikutongoza nifahamishe ili TANMO awaumbue front page jfudaku.
Nawataja Asprin Filipo Erickb52 manoah Vin Diesel Mungi nitonye Chimbuvu Chibolo tedo.........orodha itaendelea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…