Kwa wadada na wakaka wa Chit Chat

Jeska

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
116
Reaction score
149
Wakubwa shikamoo zenu wadogo habari zenu
Mimi niko mgeni kwa hili jukwaa, lakini ni mwenyeji hapa JF kwa sababu nilikuwa msomaji tangu mwaka jana na mwaka huu ndo nimeona nijiunge ili na mie nipate kujifunza yanayojiri humu.

Naomba mnipe maelekezo zaidi maana mie mgeni na mtandao.


Nashukuru kwa kunipokea

Ni miimi Jeska

Mtoto wa Ilala
 
kama wewe ni mtoto, nani aliyekuandikia maelezo yote hayo??
 
Wooow Jeska karibu sana! Jisikie nyumbani!

Karibu sana #white party!

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…