Kwa wadada jamani

Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
Utakua unatoka CAHTO yani kuja Bongo hadi ulale njiani? Wenzako classic wanatokea Tanga. Moro na Mikoa jiran sio porini karibu na Josefu Kabila na Nkuru.. we utaitwa musoma na Tarime tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
😂😂😂eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??😂😂😂😂
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
Sasa hapo inakuwaje unamsaidia?
 
Mnatumaje nauli wakati mkoni mwako wapo warembo wengi tu nikuchagua na kufunga nae pingu za maisha, hizi valentine moments watu huwa wanalizwa sana.... Mapenzi ni mradi
 
Back
Top Bottom