Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
Aaaaaah wanasemaga basi Kama wanataka Kuosha rungu...? Anakukoleza weee na viungo vya zenji, unakuja tu kushangaa picha zake za harusi. Wawe tu wakweli Kuwa wao wanapita, ukitaka kujilipua basi freshiiiii tuUmeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....
Baba zao wapo,hakuna mtoto asie na baba,lazima yupo,eiza kafa au yuko hai.
Mtoa mada pole yamekukuta nini? Jipange tu kuwa baba kulalamika haikusaidii
Aaaaaah wanasemaga basi Kama wanataka Kuosha rungu...? Anakukoleza weee na viungo vya zenji, unakuja tu kushangaa picha zake za harusi. Wawe tu wakweli Kuwa wao wanapita, ukitaka kujilipua basi freshiiiii tu
Umeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....
hivi unafikir mm nikikufuata kuwa nataka nikugegede halafuu nitembee zangu hiv utanikubali?
Na kawaida ya mwanamke ukimwambia ukweli hakubali sijui kwann mmekuwa hvyo