Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Hawa ndio wanamlaumu Magufuli kwa udikteta lakini kna tofauti kubwa Magufuli anafanya hivyo kupitia vikao halali lakini wao hata vikao halali hawavieshimu bali wanatoa matamko jukwaani.
Ni kama walivyofanya maamuzi ya kumteua Lowassa waliogopa wakiweka ushindani asingepitishwa, kwa siasa za namna hii ccm wataendelea kubaki madarakani muda mrefu.
Afu wanajifanya kuwa wana kamati kuu, Ponda ni zaidi ya kamati kuu!Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani
Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
Kwani Lisu ni mahakama? Ataingilia uhuru wa mahakama?Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
makubwa ponda sasa ndie kiongozi mkuu wa CHADEMA AU? Haya matamko duuuuShekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani
Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
Usijirushe ufahamu soma hiyo comment kwa ufasahaKwani Lisu ni mahakama? Ataingilia uhuru wa mahakama?
Kuna watu wanadhani Lissu akiwa rais mahakama, polisi na magereza vitaenda likizo.Kwani Lisu ni mahakama? Ataingilia uhuru wa mahakama?
Hahaha na movie lao la Mbatia kujiteka likabuma.Mwanzo CCM mlisema upinzani wa kweli upo NCCR imekuwaje tena?
Mama Tanzania hana chakeHahaha na movie lao la Mbatia kujiteka likabuma.
Hahaha bora angeunga juhudi akafe nao, maana rais ni Lissu na Chadema.Mama Tanzania hana chake