Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

ACT na CHADEMA wanavyojichanganya ndio nafasi ya CCM kutoboa katikati.

Au unataka kusema unamapenzi Sana kwa Chadema na ACT kuliko CCM?
 
Cheki anavyonyenyekea

FB_IMG_1603195741456.jpg
 
Kama kweli ww ni mjuzi wa siasa za bongo sion kama Kuna shida yoyote hapo

Nilichogundua ni kuwa, kuchukua mtu kutoka CCM na kumleta upinzani basi ni tatizo

Membe Alitakiwa kwa Sasa amuunge mkono Lisu coz yuko kwenye peak zaidi yake

But Membe Sasa anataka kuleta mambo ya kugawa kura na Kucheza na mind za watu
 
Kamanda hamjajipanga,hamna msimamo
Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani

Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Vituko viko ccm, Juzi Magufuli analia kawe apelekewe Gwajima wakati yuko naye jukwaani.

Leo Gwajima anaitwa RASHIDI.

Kitila Mkumbo alishindwa kupeleka maji ubungo akiwa katibu mkuu wizara ya maji.

Leo anagombea Ubunge anaahidi kutuletea maji tukimchagua kuwa mbunge.

Utashangaa akili za ccm ziko wapi?!
 
Shabaaash...mpaka sikio la kenge uone damu ujue ndio byebye..hiyoo..shwainnmmmmmnny. Bora hata makelele ya uongo yapungue..ningemshauri hata Lisu aachane na campaign maana ni aibu mbele ya wananchi..asepe zake ubelgiji. Hana tija..kwa nchi..asione aibu. Membe ameshamtengeneza.
 
Upinzani hawajipanga kabisa yaani. Hivi Membe so alipitishwa kwenye vikao rasmi vya chama? Sasa inakuwaje analazimishwa kumsapoti mgombea urais wa chama kingine? Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Ushauri kuntu
Shabaaash...mpaka sikio la kenge uone damu ujue ndio byebye..hiyoo..shwainnmmmmmnny..Bora hata makelele ya uongo yapungue..ningemshauri hata Lisu aachane na campaign maana ni aibu mbele ya wananchi..asepe zake ubelgiji...Hana tija..kwa nchi..asione aibu..Membe ameshamtengeneza
 
Back
Top Bottom