Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani

Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
Shekhe ndo msemaji wa lisu mkuu. Upinzan u have a long way to go guys.
 
CCM mmeshikwa sehemu nyeti safari hii mtasema yote ila kipigo hadi mchakae chaja, hamchomoki.
 
Upinzani bado sana, labda tuamke wenyewe sisi wananchi na kuleta mabadiliko bila kujali vyama vya hawa wasaka vyeo na wababaishaji
Upinzani upo, tena umemfanya mgombea wenu amekua mgonjwa sugu wa moyo maana hakutegemea anayoyaona
 
Lakini hii haimnyimi membe haki ya kugombea? Kumbuka kipindi kafukuzwa CCM tulisema amefukuzwa sababu ya kutaka kugombea uraisi na magufuli ni muoga sana, sasa huko iweje mrudie yaleyale? Kwani membe akigombea shida ipo wapi?

Tulia we kenge ukuni uingie, kumuunga mkono mgombea 'mwenye nguvu' sio kwamba hamtambui wa chama chake... kaeni kwa kutulia mmeshikwa korodani.
 
Shekhe Ponda kasema kuwa Membe atulie atapangiwa kazi katika siku mia za Lissu madarakani

Vilevile Sheikh Ponda kasisitiza ndani ya siku ishirini za Raisi wa Watu Jemadari Tundu Antipas Lissu Mashekhe wa Uamsho na wale wa Answari Suna watarudi nyumbani kwao kwenye familia zap
Naaam
 
Wajinga wachache sana mmebaki hapo chadema.
 
Upinzani bado sana, labda tuamke wenyewe sisi wananchi na kuleta mabadiliko bila kujali vyama vya hawa wasaka vyeo na wababaishaji
Kwa akili yako hata ya chekechea uliyonayo,unafiki upinzani ni Chadema au ACT?

Upinzani ni WANANCHI na siyo vyama.
Jiulize:

Zanzibar katika kipindi cha miaka 5 CCM wameongoza peke yao, kuanzia Baraza la wawakilishi hadi Rais
Je, kelo matatizo,shida na umasikini wa wazanzibar zimeisha?
Je, Zanzibar imebadilika na kuwa Kama Ulaya?
 
Kuna wakati nilikuwa nakudhania u mahiri katika siasa za Tanzania hasa ulipo ucheza vizuri mchezo wa kufukuzwa Bavicha hadi kuibukia na kanafasi ndani ya CCM.

Lakini nimegundua u mtupu sana sana katika michezo hii ya siasa, unababia babia tu.

Katika mchezo huu wa ACT na Chadema waliopigwa chenga Kali ya mwili toka mwanzo ni CCM, NEC na msajili wa vyama.

Nimeamini zile safari za Zitto kwenda Ubeligiji na Ujeremani na wakawa wanakutana na Lissu pia ingizo la Membe kachero yote yalikuwa mahesabu.

Kauli za Maalim Leo na Membe Jana zote ni confusing tactics kwa adui zao, subiri tamko la 27/10 ndio ccm itakapo shangazwa kama ilivyo shangazwa na kipigo cha Ponda kuingia mazima wiki ya mwisho ya kampeni.

Hangaikeni tuu, magu ana pension nzuri tuu kama ataheshimu sheria ila nyie lazima mtafute kazi nyingine
 
Upinzani hawajipanga kabisa yaani. Hivi Membe so alipitishwa kwenye vikao rasmi vya chama? Sasa inakuwaje analazimishwa kumsapoti mgombea urais wa chama kingine? Mambo ya ajabu kabisa haya.
Alijipanga mzee wako kule Geita akaacha mavi jukwaan.
Babu Seya alikuwa mfungwa. Kwa tofautisha mfungwa na mahabusu.
Aliemuachia babu seya alikuwa mahakama?. Hujajibu suali.
 
Tulia we kenge ukuni uingie, kumuunga mkono mgombea 'mwenye nguvu' sio kwamba hamtambui wa chama chake... kaeni kwa kutulia mmeshikwa korodani.
IMG_20201020_161500_327.jpg
IMG_20201020_161535_520.jpg
IMG_20201020_161600_472.jpg
IMG_20201020_161634_543.jpg

Watanzania wazalendo, hawata chagua huu upuuzi.
 
Hakuna wa kuitoa ccm. Sio hawa mawakala wa mashoga au msaliti Zitto. Kwenye box la kura kipondo cha kutosha. Magufuli, kiboko yao.
 
Back
Top Bottom