Kwa vip ntajenga imani kwa wanawake wa leo.....?

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Wana jf wenzangu hebu tufunnzane katika suara zima la la mapenzi, hasa kwa watu tulio SINGLE kwa muda mrefu... nimekuwa nikihaha sana kupata mchumba au GIRLFRIEND ambaye ntampatia mapenzi ya dhati, Sijui tatizo ni vigezo nnavyopendelea ndio kikwazo...
Napenda sana kupata girlfriend ambaye nae yuko single, but kila nnaye trace kidogo utakuta ana wake, au ni mcharuko kiasi... Juzi nlikuwa katika mawindo na upembuzi yakinifu kwa binti mmoja , ni mzuri , simple kwa mwonekano na mavazi.. pale nlipomuona nikasema ngoja nimfuatile leo kidogo daily routine yake, mida ya jioni.. katika kumfuatilia kwa nyuma nikiwa mabali kidogo mara kasimama ktk kichochoro kushoto kuna Pagare. Mara kapiga simu , muda kidogo tu katokea jamaa wakazama kwenye PAGARE , ili kwenda kuchungulia jamaa tayari ana mrambisha:A S kiss: mgegedeo😛izza:. Du fasta nikaondoka kwa huzuni, Kwa kuwa demu huyo nlikuwa namwamini na nlikuwa na mpango nae... Je ni vema kwenda kueleza hisi nlizokuwa nazo kabla hayo, au kupotezea...?
 
Dah umenikumbusha mbali sana....unafukuzia totoz kama ambavyo tulikuwa tukifanya enzi hizo tunavizia wadada waende kuteka kuni au kuchota maji kisimani...

Duh! Mkuu nakufananisha Mzee fulani hivi, ktk magazeti ya Sani enzi hizo! Sina uhakika kama hadi leo wanamchora ktk magazeti yao! Yule Mzee aliitwa MWINYI MPEKUZI!
Sorry if jina limekukwaza! Alikua na mawazo kama unayoyadondosha humu JF!
 
Na wewe pia umenikumbusha mbali, lol!
 
Wana jf wenzangu hebu tufunnzane katika suara zima la la mapenzi, hasa kwa watu tulio SINGLE kwa muda mrefu... nimekuwa nikihaha sana kupata mchumba au GIRLFRIEND ambaye ntampatia mapenzi ya dhati, Sijui tatizo ni vigezo nnavyopendelea ndio kikwazo...
Napenda sana kupata girlfriend ambaye nae yuko single, but kila nnaye trace kidogo utakuta ana wake, au ni mcharuko kiasi... Juzi nlikuwa katika mawindo na upembuzi yakinifu kwa binti mmoja , ni mzuri , simple kwa mwonekano na mavazi.. pale nlipomuona nikasema ngoja nimfuatile leo kidogo daily routine yake, mida ya jioni.. katika kumfuatilia kwa nyuma nikiwa mabali kidogo mara kasimama ktk kichochoro kushoto kuna Pagare. Mara kapiga simu , muda kidogo tu katokea jamaa wakazama kwenye PAGARE , ili kwenda kuchungulia jamaa tayari ana mrambisha:A S kiss: mgegedeo😛izza:. Du fasta nikaondoka kwa huzuni, Kwa kuwa demu huyo nlikuwa namwamini na nlikuwa na mpango nae... Je ni vema kwenda kueleza hisi nlizokuwa nazo kabla hayo, au kupotezea...?

Wrong target or bad timing! Maana hao wote wenye watu tayari, hapo mwanzo hawakuwa nao.
Badilisha mawindo!
 
Duh... Pole mkuu, kuwa in relation sio issue. Unaweza kupindua na ukachujua jumla. Ukisema ukae usubiri aliye single utakuwa kama unasubiri.meli airport! We pindua kwa kumaanisha na chujua jumla jumla!!!!
 
Duh! Mkuu nakufananisha Mzee fulani hivi, ktk magazeti ya Sani enzi hizo! Sina uhakika kama hadi leo wanamchora ktk magazeti yao! Yule Mzee aliitwa MWINYI MPEKUZI!
Sorry if jina limekukwaza! Alikua na mawazo kama unayoyadondosha humu JF!

Mzee Mwinyimpeku ndio jinale...
Hahaha mbona mimi sifanani kabisa na yule ustadh mustachi kaka...
 
Mpaka umpate aliye singo kama wew mbona shughuli mkuu..ukimchunguza bata hutomla...kama vipi pindua tu..
 
Kigezo cha kuambiwa kuwa ana mtu wake nayo ni gear tuu ya kukukatisha tamaa
Ila pale unapopaamini kuwa hapa ni penyewe hata kama amekuambia ana mtu wake hebu fuatilia kama moyo wako umeanguka kwake utaona mwisho atakuambia wazi hiyo alikuwa anakuwekeza kauzibe tuu aone na wewe ulimaanisha au ulikuwa unatania Kongosho nimekumiss wewe hebu nisalimie kabla Asprin hajaamka
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe unataka kujenga imani nyumba umeshajenga?kama bado jenga kwanza nyumba achana na imani
 
Hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Nimekumiss sana, Asprin yuko keko, kafumaniwa weekend hii

Kigezo cha kuambiwa kuwa ana mtu wake nayo ni gear tuu ya kukukatisha tamaa
Ila pale unapopaamini kuwa hapa ni penyewe hata kama amekuambia ana mtu wake hebu fuatilia kama moyo wako umeanguka kwake utaona mwisho atakuambia wazi hiyo alikuwa anakuwekeza kauzibe tuu aone na wewe ulimaanisha au ulikuwa unatania Kongosho nimekumiss wewe hebu nisalimie kabla Asprin hajaamka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom