Wana jf wenzangu hebu tufunnzane katika suara zima la la mapenzi, hasa kwa watu tulio SINGLE kwa muda mrefu... nimekuwa nikihaha sana kupata mchumba au GIRLFRIEND ambaye ntampatia mapenzi ya dhati, Sijui tatizo ni vigezo nnavyopendelea ndio kikwazo...
Napenda sana kupata girlfriend ambaye nae yuko single, but kila nnaye trace kidogo utakuta ana wake, au ni mcharuko kiasi... Juzi nlikuwa katika mawindo na upembuzi yakinifu kwa binti mmoja , ni mzuri , simple kwa mwonekano na mavazi.. pale nlipomuona nikasema ngoja nimfuatile leo kidogo daily routine yake, mida ya jioni.. katika kumfuatilia kwa nyuma nikiwa mabali kidogo mara kasimama ktk kichochoro kushoto kuna Pagare. Mara kapiga simu , muda kidogo tu katokea jamaa wakazama kwenye PAGARE , ili kwenda kuchungulia jamaa tayari ana mrambisha:A S kiss: mgegedeo😛izza:. Du fasta nikaondoka kwa huzuni, Kwa kuwa demu huyo nlikuwa namwamini na nlikuwa na mpango nae... Je ni vema kwenda kueleza hisi nlizokuwa nazo kabla hayo, au kupotezea...?