Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?



Tatizo kubwa hamjajipanga kulinda kura zenu mtaishia kusifia nyomi za watu, jipangeni kama Arusha Mjini, Tarime, Mbeya, Kawe etc.... afe kipa afe beki!
 
Ndugu hyo lugha uliyotumia utamkimbiza mapema mana hata bwana yule inamsumbua
 
Hii gia Lisu aliyoingiza akanyage wese mpaka Msajili na wenzake waulizane nani alimpitisha huyu mtu.
Haiwezekani CCM nzima kuanzia ngazi ya kata mpaka Taifa wanamjadili Lisu tu na sio ilani ya chama chao.
Sikiliza wetu wenye vision wanavyo piga sera na sio kuongelea ubinfsi kama mwanamke.
Ooh mimi ninefanyiwa hivi. Ooh mimi ninefanyiwa kile. Ooh mimi pigwa risasi 38.
Ooh mimi nimenyimwa jela. Kila kitu mimi, mimi, mimi!

Sasa mimi ndiyo sera? Atoe sera ili ajue kama wananchi watampa kura au la!

Lissu ni mbinfsi sana. Na ana umimi mwingi.
Yeye anaweza kuwasema wenzake kuwa wao ni Marietta, lakini Harmonie kuwa yeye ndiyo dikteta mkubwa!
 
Acha CCM wavune walichopanda .

Mwananchi mwenye akili timamu hawezi pigia kura CCM.

Ngoja Mwamba kutoka kanda ya Kati atue hapo Karatu kuongeza nguvu zaidi,hapatatosha siku hiyo.
 
Mkuu tulia,kunywa maji,yanasaidia kishusha pressure.
 
Aende tu ili maccm yazidi KUTAPATAPA.

Kikwetu ukimpiga mwanaume akaanguka chini kwa kishindo kikuu,unamwacha hapa chini na kuondoka zako.

Kuendelea kumtwanga ni kinyume na asili ya mwanadamu,unaweza kusema ni unyama.

Lissu asiende Karatu mwanamama yuko juu sana kumaliza kila kitu.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…