Kwa uteuzi huu wa DC Longido, UKAWA wajiandae kupoteza Jimbo

f
Mkuu hii si Arusha ile ya "R-Chuga" hii ni ile ya Wafugaji,ipo kuleeee mpakani na Kenya,Jamii hii ya wafugaji itawekwa sawa na wote wataelekea kibra!!Hili jimbo lina hathati kubwa sana ya kurudi CCM
TUTARUDI HAPA BAADA YA UCHAGUZI Akida MALCOM X
Upinzani wote wataenda kule. CCM ikishinda natembea uchi
 
f
Mkuu hii si Arusha ile ya "R-Chuga" hii ni ile ya Wafugaji,ipo kuleeee mpakani na Kenya,Jamii hii ya wafugaji itawekwa sawa na wote wataelekea kibra!!Hili jimbo lina hathati kubwa sana ya kurudi CCM
TUTARUDI HAPA BAADA YA UCHAGUZI Akida MALCOM X
Walishindwa kuwaweka sawa kwenye uchaguzi wa mwaka jana wataweza sasa? Unakumbuka lowassa pamoja na umaarufu wake alivyochemsha arumeru mashariki alipojaribu kumkampenia mkwe wake sioi sumari dhidi ya Joshua nassarri? Kiufupi watu wa Arusha hawataki rangi ya kijani kabisa, na wanapiga kura za hasira kuhakikisha hawashindi! Hivi Arusha CCM ina wabunge wangapi sasa?
 
Kwanza mwandishi ni muongo sana hasa kwenye para ya mwisho eti alimwaga Nasari....nimkukumbushe tu huku longido sio chato ......ccm mtapigwa vibaya sana
 
Kwanza mwandishi ni muongo sana hasa kwenye para ya mwisho eti alimwaga Nasari....nimkukumbushe tu huku longido sio chato ......ccm mtapigwa vibaya sana
We mndorwe ndio usome vizuri hiyo para....CCM ilibwagwa na CHADEMA na Nassari kuibuka kidedea!!Sibahatishi mkuu
 
We mndorwe ndio usome vizuri hiyo para....CCM ilibwagwa na CHADEMA na Nassari kuibuka kidedea!!Sibahatishi mkuu
Ila Arusha huyo jamaa ajipange hakuna watu wa ndiyo Mzee huku ....hizo zsma zimepita zamani sana. Huku sio kama mtera.....
 
Kumbe alikuwepo pale kwa Dogo Janja (Arumeru Mashariki) na bado CCM ikabwagwa. I believe, he has nothing to do with wana-Longido. CCM haiwezi kurudisha uhai wake katika ardhi ya mkoa wa Arusha.
 
Kwanza mwandishi ni muongo sana hasa kwenye para ya mwisho eti alimwaga Nasari....nimkukumbushe tu huku longido sio chato ......ccm mtapigwa vibaya sana
Chato kwenyewe ukifanyika uchaguzi wa marudio sasa CCM lazima wakae!
 
Chato kwenyewe ukifanyika uchaguzi wa marudio sasa CCM lazima wakae!
Hahaaaa nashangaa. Jana huku longido mahakama ilivyotangaza tu kuvuliwa kwa mbunge ......watu huku wanasema tarehe ya uchaguz itangazwe. ..ili wainyoshe ccm......
 
Huwa kuna majina mawili yanawachanganya sana waandishi maeneo mbali mbali. Benidict Ole Nangoro na Onesmo Ole Nangole. NANGORO aliwahi kuwa naibu waziri kilimo, mifugo na uvuvi enzi za Kikwete na ni Mbunge wa kiteto aliyepoteza nafasi yake. NANGOLE ni mwenyekiti wa CCM wa zamani wa mkoa wa Arusha aliyehamia CHADEMA na sasa ni Mbunge wa Longido aliyetenguliwa ushindi wake na mahakama kuu Kanda ya Arusha. Natumai waandishi na wadau mbalimbali hamtochanganya tena majina haya mawili.
 
Baada ya ufafanuzi wangu kati ya Nangole na Nangoro. Naomba kumuuliza mleta mada, umesema Emmanuel Buhohela amefanya kazi nzuri ya kurusha habari za Magufuli kipindi cha kampeni kafunika mashimo ya Spencer Lameck aliyekuwa akirusha habari za UKAWA, je ni kwanini Buhohela hakupewa ukuu wa wilaya na badala yake kapewa Godwin Gondwe
 
Swali lingine kwa mleta mada, matokeo ya ubunge jimbo la Longido yametenguliwa jana, na Wakuu wa wilaya wametangazwa siku nne zilizopita, je unahusishaje uteuzi huu na kurusha jimbo hilo mikononi mwa CCM ina maana jaji alikuwa na mawasiliano na Ikulu kuwa hukumu itakuwa hiv?
 
Na tumekata rufaa wala haturudii uchaguzi.... Kumbukeni ya lema aliwafanyaje!!!
 
Back
Top Bottom