kwa ushahidi huu rushwa haitaisha Tanzania, ajali zitaongezeka wengi watapoteza maisha.

Khooo maafande kumbe nao wajanja hahaaa nimependa alivyo piga jicho kushoto kulia
 
Ila pia huyo dereva awe makini kweli kama alikuwa ana overspeed na iyo lefti hendi kwasababu we keep or drive on the left
 
Tii sheria bila shuruti mara Buku tano za kubrashia Viatu mara Daini risiti Mzee Jaakaya Sijui alikwenda kumkurupusha..wapi
 
Back
Top Bottom