Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,906
- 4,525
iseee unatakiwa uapload matokeo yako kama umemaliza mwaka huu, baadhi ya matokeo hayaja pelekwa nacte
Nimemaliza mwaka Jana (2015).
iseee unatakiwa uapload matokeo yako kama umemaliza mwaka huu, baadhi ya matokeo hayaja pelekwa nacte
Unaambiwa update inawezekana kozi uliyoichagua qualification zako hazijakizi vigezo (ufaulu wako na kozi ulizojaza haviendani ndo mana)
Alafu sasa hivi nacte wamefungua unaweza kuchek profile yako vizuri
Ok sawaWakati nasoma diploma sikutoa nafasi kwa ulichokiandika kutokea. (Nina nguvu za kutosha kuwachosha washindani wangu).
Nimegundua suala hili liko kwa watu wengi. Nitaleta mrejesho uchaguzi ukikamilika. Asanteni
Hata mm nlimaliza mwaka Jana ndugu lkn ikawa inazingua hvyo hvyoNimemaliza mwaka Jana (2015).
KAKA SUA TUNAENDA KWELI KWA MAGUMASHI HAYAKwenye account yangu hakukua na means ya Ku attach PDF certificate/any document ila nilikua natakiwa nijaze details zifuatazo;-
1. Jina la chuo nilichosoma.
2. Mwaka niliomaliza.
3. Kozi niliyosoma.
4. Admission number (examination no.)
Baada ya hapo inanipeleka moja kwa moja kuchagua kozi.
Baadae nikiangalia kwenye profile naambiwa nimeshakamilisha mchakato wa kuomba chuo na sasa nisubiri zoezi la uchaguzi (selection).
Lakini nikiangalia pale kwenye NTA LEVEL 6 Qualification bado kuna bar nyekundu yenye maandishi mekundu inayonitaka ni UPDATE, nikirudia hizo hatua nne hapo juu bado naambiwa UPDATE vilevile.
Imekua kama mchezo wa HANGAISHA BWEGE na mimi ndiye BWEGE MWENYEWE.
Nimejaribu kuwasiliana na NACTE kwa namba zote walizoziweka pale hawapatikani, nimewaandikia barua pepe hawajajibu.
Sasa nilichoamua ni kuagiza glasi ya juisi ya majani ya mipapai na kuketi kwenye kiti cha miguu mitatu chini ya kivuli cha mti wa malimao na kupumzika huku niki "WAIT FOR SELECTION"
Nisiyejua niendako njia yoyote itanifikisha.
NB:- Sijaambatanisha "screenshot" kwa sababu saizi system haifunguki hivyo siwezi kufika kwenye profile yangu.
KAKA SUA TUNAENDA KWELI KWA MAGUMASHI HAYA