Kwa ujio wa FLUTTER ya google, Je ndio mwisho wa React native ya facebook?

Kwa ujio wa FLUTTER ya google, Je ndio mwisho wa React native ya facebook?

At the moment apps have no future: Money from apps was during the days app stores zinaanza, people were likely to be millionaires because the market was still new: but at the moment the likely hood of you making it to the store is very low unless you can make people to have attention on your app, before flutter you can make android, ios apps with google chrome itself you dont need to code any backend language as you have a website already: we should look forward into new tech advacements such as internet of things, artificial intelligence and many more
Hard truth
 
Kotlin is the official language used by Google. Soon Java wataitema since kumekuwa kuna ongoing court battle over the past couple of years.
Kinachochosha, kila toleo jipya la android kuna baadhi packages,classes na methods zinakuwa deprecated mfano PreferenceManager kwenye API level 29 sasa ukija kwenye documentation kutafuta mbadala wa hizo classes maelezo ni complicated kweli.

Yaani msaada mkubwa kwa kweli huwa ni stackoverflow, android developer documentation inafaa kwa experienced developer.

Ila hizi kotlin na flutter binafsi hata sijashawishika, nitaachana na java upande wa android siku google wakiitema rasmi.
 
Kotlin is the official language used by Google. Soon Java wataitema since kumekuwa kuna ongoing court battle over the past couple of years.
Ni rahisi na haraka hivyo?

Google walitengeneza android kwa kuegemea java kabla ya oracle kununua sun Microsystems (waliuunda java).

Ingekuwa wana lengo la kuachana na java nadhani google wasingeshift na kutumia open-jdk tangu 2016.
Ref: Mysterious Android codebase commit | Hacker News

Sidhani kama google wanaweza achana na java kirahisi sema ni vizuri kujifunza kotlin kwa future purposes.
 
Sorry google sio waliotengeneza Android bali waliinunua tu kutoka kwa kina Andy Rubins kisha wakaifanya open source.

Ni kweli sio rahisi kwa google kuiacha java coz hata ukifatilia mkutano wa Google i/o ya mwaka huu yule jamaa anaeongoza team ya kudevelop android studio aliongelea hilo swala vizuri sana. In short alisema kuna API baadhi zilizoandikwa kwenye java zitakua shifted to kotlin lakini sio zote, sema tu kwenye API nyingi mpya kotlin ndio itapewa kipaumbele.

Google kuabandon java ni kitu ambacho hakiwezekani kufanyika kwa miaka ya karibuni hivi kwa sababu ya Api za android, nyingi zinatumia java na ni vgm sana kuzishift to kotlin kiasi kwamba hata baadhi ya products zao google bado zinatumia java kwa asilimia ya kutosha tu.
 
Back
Top Bottom