Kwa ujio wa FLUTTER ya google, Je ndio mwisho wa React native ya facebook?

Kwa ujio wa FLUTTER ya google, Je ndio mwisho wa React native ya facebook?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Habari wana JF!

Katika vitu navutiwa navyo ni pale nnapoona teknolojia inaendelea na kukua!

Tulianza na java kama main language kwenye android development, ikaja kotlin sasa google wamekuja na FLUTTER inayotumia Dart programming katika android app development!!

Mimi sio mtu wa IT ila ni mtu nnayependa sana coding, infact hamna language napenda kama java!

Mwanzoni nilivutiwa na react native ambayo inatumika kutengeneza app za kwenye android na iOS, lakini nilikua sivutiwi na javascript automatically nikashindwa kujifunza react na react native!!

Mwaka jana google, ili kuwajibu facebook, wakaja na flutter ambayo unaweza kuitumia kutengeneza android na iOS apps kwa kutumia single code base, yaani "code once and use everywhere" kama ilivyo react native!!

Mwaka huu mwezi wa 12wametoa stable version ya flutter, infact kitu kilichonivutia kuhusu flutter ni dart programming ambayo its more or less the same as java, zinafafa syntax!!

Flutter bado no ngeni kidogo kwenye mobile app development ila siamini kama google watakubali ife kizembe!! so its future looks quite promising!!

Flutter imetengenezwa on top of C and C++, by any chance itakua faster and lighter compared to react native!!

Tofauti na react iliyotumika kutengeneza app za facebook, instagram, walmart na linkedln plus many more FLUTTER mpaka sasa imetumika kutengeneza apps za google kama admob, imetumia na alibaba plus many others!!

JE FLUTTER INAWEZA KUWA MSHINDANI WA REACT NATIVE NA JIBU LA GOOGLE KWA FACEBOOK?

news-1-a2efa4e6a1633162e5e697a90922c2c9571d0d78d9eb18ddbec0919a8ada4f80.png
 
Flutter bado sana kwa react native ingawa ina support ya kutosha kutoka google..
mimi naona bado javascript ina nguvu kuliko dart sababu ikiwemo community support ya kutosha compare to dart...
ingawa kwenye flutter nimependa widget customization ilivyo simple...
for me flutter is for lazy dev.....
na pia kwanza ndio ipo version 1.0,,,smh
 
Kwangu naona flutter is cool kwa sababu i hate JS! Google is among giant tech companies, so with ts support, flutter is here to stay! naamini italeta ushindani kwa react native!
 
swali la kujiuliza ni kuwa mbona kotlin haikuiondoa java au react haikuiindoa java sasa itakuwaje flutter iiondoe react but time will tell
 
swali la kujiuliza ni kuwa mbona kotlin haikuiondoa java au react haikuiindoa java sasa itakuwaje flutter iiondoe react but time will tell
Sizani kama ni sahihi kuilinganisha kotlin na java, infact sizani kama kuna mtu alitarajia kwamba itaitoa java. React sizani kama ina miaka minne kwenye industry, codebase yake huwezi ilinganisha na ya java!!

Inaweza kuwa ngumu ila naimani sana na flutter!!!
 
You'll have to start loving JS because it's now everywhere. Web, mobile, AI (tensorflow), IoT etc. Anza na Typescript if you can.
Kwangu naona flutter is cool kwa sababu i hate JS! Google is among giant tech companies, so with ts support, flutter is here to stay! naamini italeta ushindani kwa react native!
 
You'll have to start loving JS because it's now everywhere. Web, mobile, AI (tensorflow), IoT etc. Anza na Typescript if you can.
I hate JS but it always forces me to love it, it is like a latino side chick. If I were mr President I'd include it in secondary school curicullum coz it's one of the neccesary technologies to know in this era.
 
Flutter bado sana kwa react native ingawa ina support ya kutosha kutoka google..
mimi naona bado javascript ina nguvu kuliko dart sababu ikiwemo community support ya kutosha compare to dart...
ingawa kwenye flutter nimependa widget customization ilivyo simple...
for me flutter is for lazy dev.....
na pia kwanza ndio ipo version 1.0,,,smh
Flutter iko vizuri lakini tatizo ni moja, documentation ya languages zote zinazotolewa na google huwa wanaelezea kama vile kila atakaesoma documentation zao ni Pro-programmer, so wale programmer wa kawaida huwa wanasubiria Pros wasome na kuanza kutumia kisha wakiandika tutorials ndipo programmers wa kawaida waanze kuitumia nao. Hebu angalia mfano web yao ya android development, pale novice akiingia siku moja kesho yake harudi. Hata ukinglia youtube channel yao kwenye comments hadi wahindi wanalalamikia hio issue kwamba google hawarepresent documentations zao ktk njia ambayo inarahisisha hata novice programmer aelewe. Na hio ndio inacost Dart pamoja na flutter.

Ukiangalia official documentation ya react-native ndipo utaona tofauti, facebook wameielezea kwa lugha rahisi sana na ya kueleweka kiasi kwamba hata novice anaweza kuisoma na kuelewa na akiongezea tutorials basi anakua vzr sana.

Ni ukweli usifichika kwamba flutter iko na nguvu sana na performance nzuri zaidi ya React lkn react itabaki kuwa kipenzi cha wengi kwa sababu tu ya community support na urahisi wa kuelewa documentation zao, SOMA HAPA KUANGALIA COMPARISON YA FLUTTER NA REACT_NATIVE
 
swali la kujiuliza ni kuwa mbona kotlin haikuiondoa java au react haikuiindoa java sasa itakuwaje flutter iiondoe react but time will tell
Kotlin au react au flutter kuiondoa java ni FUTURE IMPOSSIBLE TENSE labda tu watu waache kutengeneza apps zenye uwezo mkubwa waanze kutengeneza viji-apps vya kawaida kama ecommerce sites na booking apps. Java ina uwezo mkubwa sana wa kutumia native android features ikiwa ya pili kutoka kwa C/C++. Hizi flutter na react-native zitasaidia wale ambao walikua wanatumia sana webview na phonegap, na hii kotlin itasaidia wale wanaotoka kwenye python na kuanza kufanya android development(To me kotlin is just like python). Lakini kama mtu anataka kuandika app ambayo itatumia native features nying au app ambayo inacommunicate directly with the kernel basi hao kotlin, flutter na react-native hawana nafasi, hapo itabidi utumia native C/C++ au java(iliozoeleka)

MY TAKE:
hizi flutter, kotlin na react zimeletwa ili kutengeneza generation ya programmers ambao watakua very limited likija swala la Pro-Programming. Na tutarudi tu kulekule kuwa dependent kwa hayo makampuni coz skills kubwa watakua nazo wao tu. Itafikia hatua watu watakua wanajiita programmers/developers lakini wanakua na skills ambazo hata dogo wa std7 akifundishwa anaelewa na kufanya.

See, lnguages kama Erlang na Scala ni kati ya languages ambazo kiukweli ndizo inabidi zitumike sasa coz computers za siku hizi zinakuja na parallel computing na hizo Erlang na scala zinasupport hio kitu kiurahisi zaidi. Unakuta mtu ana computer inasupport parallel cmputing lkn kama software haijatengenezwa kutumia hizo features basi atakua hana tofauti na mtu anaemiliki pc ya kawaida tu. Lakini kwa generation ya developers wa sasa ukimwambia ajifunze Erlang, Scala au hata C/C++ basi mtakimbizana coz brains zimeshazoea madesa simple simple kutoka google(flutter, dart) na facebook(React). Ofcoz hio ni opinion yangu tu, I may be wrong.

LET'S BREAK THROUGH THE BARRIERS AND BECOME LIMITLESS AS FAR AS COMPUTER PROGRAMMING IS CONCERNED.

Kali Linux.
 
At the moment apps have no future: Money from apps was during the days app stores zinaanza, people were likely to be millionaires because the market was still new: but at the moment the likely hood of you making it to the store is very low unless you can make people to have attention on your app, before flutter you can make android, ios apps with google chrome itself you dont need to code any backend language as you have a website already: we should look forward into new tech advacements such as internet of things, artificial intelligence and many more
 
Flutter iko vizuri lakini tatizo ni moja, documentation ya languages zote zinazotolewa na google huwa wanaelezea kama vile kila atakaesoma documentation zao ni Pro-programmer, so wale programmer wa kawaida huwa wanasubiria Pros wasome na kuanza kutumia kisha wakiandika tutorials ndipo programmers wa kawaida waanze kuitumia nao. Hebu angalia mfano web yao ya android development, pale novice akiingia siku moja kesho yake harudi. Hata ukinglia youtube channel yao kwenye comments hadi wahindi wanalalamikia hio issue kwamba google hawarepresent documentations zao ktk njia ambayo inarahisisha hata novice programmer aelewe. Na hio ndio inacost Dart pamoja na flutter.

Ukiangalia official documentation ya react-native ndipo utaona tofauti, facebook wameielezea kwa lugha rahisi sana na ya kueleweka kiasi kwamba hata novice anaweza kuisoma na kuelewa na akiongezea tutorials basi anakua vzr sana.

Ni ukweli usifichika kwamba flutter iko na nguvu sana na performance nzuri zaidi ya React lkn react itabaki kuwa kipenzi cha wengi kwa sababu tu ya community support na urahisi wa kuelewa documentation zao, SOMA HAPA KUANGALIA COMPARISON YA FLUTTER NA REACT_NATIVE

Kinachochosha, kila toleo jipya la android kuna baadhi packages,classes na methods zinakuwa deprecated mfano PreferenceManager kwenye API level 29 sasa ukija kwenye documentation kutafuta mbadala wa hizo classes maelezo ni complicated kweli.

Yaani msaada mkubwa kwa kweli huwa ni stackoverflow, android developer documentation inafaa kwa experienced developer.

Ila hizi kotlin na flutter binafsi hata sijashawishika, nitaachana na java upande wa android siku google wakiitema rasmi.
 
Back
Top Bottom