Ebu tuanze kuwabana kwanza hawa VIONGOZI wetu wanaongoza vyama PINZANI hapo ndipo tutakapo pata uhalali wa KUINDOA CCM madarakani.
Kwanini nasema hivi? Nasema hivi nikiwa na maana ya kwamba TUMESHUHUDIA uchafu mkubwa sana wa KIONGOZI mkubwa wa CHAMA kikuu cha UPINZANI kashfa zake za kukwepa KODI zikionyeshwa wazi wazi na serikali hii.
Juzi ilikuwa BILICANAS NA LEO NI HOTEL YAKE HUKO Kilimanjaro.
Sasa tujiulize hivi...
1. Mpaka sasa anapata UHALALI upi wa kuendelea kuwa kiongozi mkubwa ndani ya chama?
2. Je, anapata uhalali upi wa kuwatetea wananchi ili hali yeye mwenyewe amekuwa mstari mkubwa kukwepa kulipa KODI ambayo ingetumika kuwaletea wananchi maendeleo?
3. What if chama chake kingefanikiwa kuongoza nchi hii asingekuwa FISADI MKUBWA?
4. Kwa sasa anapata uhalali upi wa kutoka nje na kuikosea serikali hii?
5. Kwanini ni mtu wa ndimi mbili maana tulio wengi tunakumbuka yeye ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kuiita serikali ya JK ni legelege kwenye suala la kukusanya KODI ili hali yeye mwenyewe nae alikuwa mkwepa kodi mkubwa?
MKITAKA KUINDOA CCM madarakani EBU ANZENI KUJENGA MSINGI IMARA WA NYUMBA YA HAPO UFIPA KWA KUWAONDOA HAO WOTE NDIMI MBILI, mkifanikiwa hili CCM mtaitikisa ipasavyo.