Kwa ubinafsi huu chadema inajizika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ubinafsi huu chadema inajizika.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nascoba, Aug 6, 2012.

 1. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wakati chaguzi ngazi ya msingi ndani ya chadema zikiendelea ghafla tunapata taarifa kwamba chaguzi hizo zimesitishwa na badala yake inaandaliwa program ya taifa kwenda kusimamia matawi,jambo ambalo ni kinyume cha katiba ya chama inayosema kila ngazi husimamiwa na ngazi ya juu yake,imekuwa ni desturi ya chadema makao makuu kuhodhi na kujilimbikizia majukumu yote ya chama hata yale ya ngazi ya chini kabisa kwa lengo la kujinufaisha na ruzuku ya chama huku wakiacha mikoa,wilaya na majimbo ikiwa haina cha kufanya.kutokana na mwendo huu wa kutaka kila jukumu wafanye wao historia inaonyesha ziko program nyingi ambazo zimeshindwa kufikia lengo kutokana na ulafi wa viongozi kama vile program ya chadema ni msingi,operesheni sangara,na leo tuna program ya M4C,pamoja na uwingi wa majukumu haya na pesa nyingi ya chama inayotumika,hawataki kugawa majukumu haya ktk mikoa na wilaya wanachoamini ni kwamba pekee makao makuu ndio wanao weza kila kitu,bila kujua kwamba wao wanajiona wanaweza kutokana na pesa wanayotumia na hao wanaowaona hawawezi ni kutokana na kukosa pesa,mods naomba ujumbe wangu huu musiuondoe uwafikie wahusika najua wapo hapa,mh mbowe,dct slaa,zitto,mnyika na wengine hebu jitokezeni mutupatie majibu
  Nawasilisha.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Nascoba nadhani unatakiwa ujifunze utendaji kazi NGO haya malalamiko yako yote yatakwisha.
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mchaga wa sehemu gani? Kama si mchaga basi wewe ni Gentile tu! Si vema kuchukua chakula cha wana nakuwapa mbwa!
   
 4. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kama huna maelezo ya maana juu ya hoja zilizotolewa,kachimbe dawa ukalale.wapishe wenye akili timamu wachangie.
   
 5. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Haya Si malalamiko binafsi bali ni kwa faida na ustawi wa chadema bara na visiwani.
   
 6. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hahahahhaha ''ngumu kumesa''
   
 7. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  dah wewe pekee shabiki wa gwanda ulieweza kueleza ukweli...najua itawauma sana ila kaka umevaa bomu,hongera sana.kuna baadhi ya watu humu ndan wanaamini kabisa chadema haikosei.huu ni mwanzo tu mengi mtaskia kadri cku znavyoenda..tukumbuke hawa wanasiasa wetu wote ni wachumia tumbo tu.
   
 8. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wewe umeshaandika naomba ukimbie kuepusha balaa maana wakiamka wale watoto wa kuku a.k.a vifaranga wanaoamini watanyonya kesho itakua balaa hapa.wanaweza kukutoa dumu.
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,090
  Likes Received: 10,448
  Trophy Points: 280
  "The end justfy the means"
  kama hayo yote yanahitajika ili lengo jema litimie,so let it be.

  Kwanza toa umbea wako hapa...
   
 10. d

  danizzo JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the end of begin.
   
 11. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hata kama ila CHADEMA ndiye mkombozi wa Tz sasa.
  Ulikuwa na maslahi binafsi ktk chaguzi hzo nin?
   
 12. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hoja nzuri sana, na ni ushauri wa kuzingatiwa zaidi na viongozi wa chadema, wanatakiwa kama wanahitaji kuchukua hii nchi, basi waache kuhodhi madaraka yote ngazi ya Taifa. Ngazi za chini za chadema hazijapewa nguvu kiasi cha kuweza kukimbizana na chama tawala
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hoja ni nzuri, cdm wanatakiwa wazingatie ushauri huu.
  hofu yangu ni kuwa, kuna watu vipofu watakao kuja kuipotosha kwa matusi na kejeli,
  wakiamini kwamba cdm haikosei, wanamapenzi yalopitiliza ambayo ni hatari kwa manufaa ya cdm na demokrasia ya nchi.
   
 14. T

  TERREL Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  'UBINAFSI' katika hili uko wapi? Mambo yanatakiwa yaende katika mpangilio utakaoleta tija. Ni vyema kuchunga SANA watu kama nyie MAMLUKI msije mkapata kujipandikiza na kufanya uharibifu wenu. Taratibu holela ndizo zinazowagharimu MAGAMBA sasa hivi. Tatizo sio kupata viongozi tu bali watu wanaoijua vyema ITIKADI na SERA ya chama ili waweze kuisimamia na kuieneza!
   
 15. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Swala si maslahi,nimekuwa kiongozi wa chadema kwa miaka 15 sasa na muda wote huo tumejitolea kwa hali na mali lakini sasa inastaajabisha kuona hata jambo dogo namna gani la kichama mtekelezaji atatoka makao makuu,hata katiba kwa sasa haifuatwi sawa sawa
  Kwa mwendo huu mbele ya safari ni mashaka matupu.
   
 16. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ni kweli,siku zote sisi viongozi wa kiwilaya,mikoa na majimbo tumekua tukishutumiwa kwamba tumelala,hawajui kwamba uenezi na kulea wanachama ndio kazi kubwa kuliko kukusanya wanachama 200 kwa siku moja na baada ya wiki au mwezi wanakufa kwa kuwa walezi hawakupewa uwezo wa kulea,hili jambo tumejaribu sana kuwafikishia viongozi lakini mwisho tumekuja kubaini kumbe swala zima ni namna ya kutumia ruzuku kwa maslahi yao wao kwa wao.
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  CHADEMA itastawi tu bila hata ya viongozi wa ngazi za chini, ndio maana sasa ruzuku tumeilekeza kwa viongozi wa kitaifa kufungua matawi nje ya nchi. RIP kamanda Chacha Wangwe.
   
 18. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kama utapumbazika kwamba chadema inapendwa nembo wewe huwezi kupanda treni ya mabadiliko,watanzania wa leo wanahitaji sera zenye kuleta matumaini,mimi ni kiongozi wa chadema kwa miaka 15 sasa,kama wewe utaniona mamluki kwa kusema kwangu ukweli ulivyo nadhani akili zako zimeganda,chadema haitakiwi kupita ktk njia ile ile waliyopita nccr mageuzi na cuf,wakifanya hivyo hawatoamini upepo utakavyogeuka kuelekea kwingine,mtu mwenye akili akipewa hoja anaitafakari na kutafuta ufumbuzi,lakini zumbukuku kama wewe ukipewa changamoto unakimbilia kwa waganga huna tofauti na watawala waj├Čnga ambao wanatumia polisi au jeshi kunyamazisha wananchi badala ya kupokea hoja zao.nakufananisha na maiti inayotembea.
   
 19. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hoja yako nzuri lakin ni mapema sana kwa chadema kugawa majukumu mengi jimbo hii ni kutokana na uchanga wa chama na unatakiwa kujua kama kweli lengo kujea chama swalla ka hili halitoweza kukukatisha tamaa kwani kwan unatakiwa kujua sheikh au muhubiri wa kweli na mwenye uchungu na wale wanao mtendea dhambi mwenyez mungu atahubiri ama atatoa waidha pasi na kujali kama kuna malipo au lah na si vema sana kufananisah utawala ccm na chadema hasa ni kutokana ntofauti za kiutawala miongoni mwa vyama hiv vuta subira huo mgawanyo wa majukumu jimbon na mikoan utafanyika suburi kwanza chama kijenge mizizi kama itawezekana kufika huko itafika chadema bado ni chama kidogo sana tena kwa kila kitu na kuna safari ndefu sana kuja kuifikia ccm endelea kupambana usihofu jenga chama kwanza chadema bado nichanga na hakuna wanachama wa uhakika sababu hata hawa waliopo mara warudishe kadi mara wachukue tena so ucpate tabu mambo yatakaa sawa tu.
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa ni kweli wabinafsi hata wakienda baa wanakaa wamejitenga na bia wanakunywa pekeyao
   
Loading...