Kwa tunaomjua Bashiru Ali, tumebaki na butwaa

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,222
Reaction score
27,443
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
 
Tutaongea weee
Tutawasema weee
Tutawachukia weee
Tutawaandika sana

Lakini itafika mahali tutasema "Tunawashukuru sana Wale watu "
Waacheni watu wapige kazi

Najua Jamii forum haifi Leo wala kesho
hivyo Vizazi vijavyo vitakuj kuona haya
 
Mkuu umeona hiyo kitu watanzania Wana njaa Kali kwahyo usije kufanya kitu hatari na mtanzania watakuuza sababu Wana njaa hawana msimamo njaa ikikaba... Assalamualaikum
images%20(1).jpg
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine political science pale udsm. Kibinafsi alinifunza organizations theory nadhani ilikua second year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills " mlimani hatukumtofautisha na mwalimu Nyerere kwamaana ya kupigania Haki na demokrasia ya kila mwananchi. wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za binadamu, ubakaji wa demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali but things Will never be the same again!!
Naomba rudia kauli ya Prof Smith kuhusu sie watu weusi.
IMG_20200320_223458.jpg
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine political science pale udsm. Kibinafsi alinifunza organizations theory nadhani ilikua second year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills " mlimani hatukumtofautisha na mwalimu Nyerere kwamaana ya kupigania Haki na demokrasia ya kila mwananchi. wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za binadamu, ubakaji wa demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali but things Will never be the same again!!
Utakuwa na kiribatumbo wewe, sio bure
 
13 Na miongoni mwao wale kumi na tisa, walikuwemo Maria Mdee, Maria Bulaya na Maria wa Bunda

14 Ikawa miongoni mwao wale wanawali 19 ambao walikesha wakiomba wanaume walale ili kuja kuamka wakute viapo vyao vya utii wa bunge viwe vimewekewa mihuri ya moto

15 Na ndipo andiko la unabii lipate kutimia lisemalo 16 kabla jogoo hajawika mara ya sita hapatakuwepo na mapatano miongoni mwao 17 kwa kuwa yupo alienunuliwa kwa vipande mia sita vya pesa kutoka kwa Luwasa mwana wa mwashi mkuu 18 na aliyenunuliwa na watu wa mataifa 19 ambao bendera ya muungano wao ni nyota mzunguko kwenye shuka la bluu
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine political science pale udsm. Kibinafsi alinifunza organizations theory nadhani ilikua second year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills " mlimani hatukumtofautisha na mwalimu Nyerere kwamaana ya kupigania Haki na demokrasia ya kila mwananchi. wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za binadamu, ubakaji wa demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali but things Will never be the same again!!
Ni yeye 2020 mmeshasahau. Bashiru hamtamsahau
 
Back
Top Bottom