Kwa tunaokatwa deni HESLB, ujumbe wa "It seemed you have requidated loan" una maana gani?

Kiume3000

Senior Member
May 17, 2021
180
218
Baada ya tangazo la kuondoa retention fee na tuseme tu haya ndio matokeo ya Rais mpya halafu eti wananchi wanalalamika yule ameondoka wanateseka kumbe Kuna walioibiwa miaka na miaka.

Wajuzi wa haya mambo, unayo hiyo statement na unaendelea kukatwa Deni. Ina maana ipi.
 
'It seemed you have requested loan' mbona hili yai kama silielewi......nafikiri bado halijachemshwa vya kutosha.

Maana yake hudaiwi Tena, yaani umelipa fedha yao yote waliyokuwa wanakudai.

Kila la kheri.

4E8C539B-3F70-4178-B477-C9969ABE4F14.png
4E8C539B-3F70-4178-B477-C9969ABE4F14.png
 
Baada ya tangazo la kuondoa retention fee na tuseme tu haya ndio matokeo ya Rais mpya halafu eti wananchi wanalalamika yule ameondoka wanateseka kumbe Kuna walioibiwa miaka na miaka.

Wajuzi wa haya mambo, unayo hiyo statement na unaendelea kukatwa Deni. Ina maana ipi.
Heading na content ni kama havina uhusiano
 
Back
Top Bottom