Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,251
Reaction score
2,870
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
 
Mkuu vp, jamaa hajakushikisha ukuta?
 
Pole mkuu,ila cku nyingine usikubaki kwenda kwake na pia umchunguze Kwa muda kabla ya kugegeda.....sio umetongoza Leo then kesho unaenda kutelezesha kwenye ute.
Mambo ya gambe mkuu
 
484813_529072147148811_945672888_n.jpg
 
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
Umeshindwa kuelezea kilichoendelea kwa sababu alizibua nozzle tata.... pole sana.
 
Kama unataka kuliwa tigo na unaona aibu kuwaambia washkaji kwamba unahitaji kufunuliwa marinda. Tembea na mke wa mtu. Utafumuliwa na njemba za kutosha na hutowashwa washwa tena
 
kama nakuona vile ulivyochezea ukuni, ulipakwa mafuta?
 
umesema utatuambia kilichoendelea, yani kilichoendelea ni kutoroka? Thubutuu uliliwa utumbo mpana...
Hahahahaaa,ilitokea vurugu kubwa maana jamaa alikuja peke yake,nilipomzidi nguvu kwa kumpora panga alilokuja nalo ilimbidi apige kelele kuomba msaada,nikala kona
 
Back
Top Bottom